Rais wa Kenya hupatikanaje?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Kwa wale wenye uelewa na siasa za nchi ya Kenya ningependa kujua Raisi wa nchi hiyo hupatikanje? Yaani utaratibu unaotumika kumpata mgombea Uraisi! Je, ni kama kwetu ambapo kwa mfano CCM wagombea huchukua fomu za Uraisi halafu kamati Kuu ya CCM yenye wawakilishi ktk kila Mkoa wa TanZania hupiga kura na kupata mgombea mmoja sasa je na Kenya hivyo hivyo au kuna utaratibu mwingine?
 
Kenya vyama ni vya watu mahsusi hivyo ata hakuna haja ya ugombezi rasmi.

Mathalani, kwa chama cha ODM, kiongozi wa chama ndiye anayekuwa mgombea urais moja kwa moja, Raila Odinga.

Wiper, kiongozi wa chama, Kalonzo Musyoka ndiye mgombea moja kwa moja, hakuna mtu anayeweza kugombea nae.

UDF, kiongozi wa chama Musalia Mudavadi ndiye mgombea urais rasmi wa urais

TNA kilikuwa cha Uhuru na URP kilikuwa cha Rutto.Na kuelekea 2017 hivi viwili vimeungana hivyo kutakuwa na Jubilee Alliance ambayo mgombea wa 2017 ni Uhuru Kenyatta na mgombea wa 2022 ni Rutto.


Hivyo demokrasia ya uchaguzi ndani ya vyama kwa Kenya haipo.Kinachotokea ni kuwa hivi vyama vinaweza kuungana kutoa mgombea mmoja, ambapo vinara wa vyama hivyo wanakubaliana nani kati yao awe mgombea urais.

Mwaka 2013 Raila na Kalonzo waligombea pamoja sawa na Kenyatta na Rutto walivyokubaliana.Wanacha wa vyama hawana sauti juu ya hayo.

Hii inafanyika pia kwa sababu kura za maeneo mbalimbali ya Kenya zinamtegemea mtu mmoja, ukitaka kura za mkoa wa zamani wa Nyanza kwa wajaluo lazima uwe na Raila maana wajaluo wanampigia kura mtu atakayesema Raila wampigie.

Rift Valley kwa chaguzi mbili zilizopita wameonyesha wanampigia kura mtu ambaye Rutto anasema wampigie, kama wakamba wanavyomsikiliza Kalonzo Musyoka na wakikukuyu kwa mkikuyu mwenzao(kwa sasa Uhuru Kenyatta).

Kwenye uchaguzi uliopita wapoga kura wa eneo la Wakikuyu kwa Uhuru na eneo la Rutto la Rift Valley walikuwa wanafika asilimia 45% ya wapiga kura wote, hivyo kuwahakikishia ushindi ata kabla ya uchaguzi.
 
True Wat this guy says but kuna party democracy the head of a party anaeza tolewa na party member of they garner a million votes from voters kama watu hawataki raila awe party leader they just go around town and garner voters signature that will essentially tell they don't want railas as party leader hence as president and that will remove him and help put another person
 
I came to learn that Kenya is one of the most democratic states in Africa. Democracy is exercised when selecting the party leader where grassroot leaders from the counties and villages, known as delegates, come to Nairobi to determine who the flag bearer will be. After that, the flag bearer will be the automatic general election contender.
 
Nominations

Dates

The release of the calendar resulted in several parties opting to hold their nominations on 17 January 2013.[SUP][31][/SUP] The IEBC proposed public school shut down on 17 January 2013, as the schools would be the venue for a significant number of nomination activities across the country.[SUP][32][/SUP] The Government confirmed that public schools would not open on 17 January 2013.[SUP][33][/SUP] The government would later announce that Public primary schools would for the second day (18 January 2013) remain closed to allow party primaries to continue.[SUP][34][/SUP] On 19 January the IEBC indicated that political aspirants who lost during respective party primaries are not allowed to defect and seek tickets on other parties after Midnight on 18 January 2013. By law, political parties were expected to nominate their candidates for an election at least 45 days before.[SUP][35]

ODM DELEGATES WHEN THEY CHOOSE THE PRESIDENTIAL FLAG BEARER. FROM ARCHIVES!!

[/SUP]
<font color="#252525"><font><sup>
 
Last edited by a moderator:

Kenya kila chama kina michakato yake ya kumpata mgombea, kama ilivyo Bongo tu, tofauti ni jinsi ya kufikia hatua ya mwisho. Kuna vyama huwa na uchaguzi unaofanywa na maelfu ya wajumbe kutokea mikoani, wanakuja Nairobi na kumchagua mgombea mmoja kati ya watangaza nia wote wa chama. Anayechaguliwa anaungwa mikono na walioangushwa na wote wanakua timu moja.

Nacho fahamu ni kwamba, mifumo tunayo bora lakini imejaa usanii, wajumbe huja Nairobi kutia sahihi ila tayari mgombea ashajulikana humo humo. Hivyo hamna tofauti na usanii wa Bongo ambapo wanatangaza nia wengi lakini tayari NEC wanajua yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…