Rais wa Kenya William Ruto ampongeza Museveni kwa kuaminiwa tena na wananchi kuwa rais wa Uganda

Rais wa Kenya William Ruto ampongeza Museveni kwa kuaminiwa tena na wananchi kuwa rais wa Uganda

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
1768745225688.png

Rais wa Jamhuri ya Kenya, William Samoei Ruto, amemtumia salamu za pongezi Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, kufuatia kutangazwa kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliokamilika nchini humo tarehe 17 Januari, 2026.

Katika barua yake rasmi iliyotolewa leo Januari 18, 2026, Rais Ruto ameeleza kuwa ushindi wa Rais Museveni ni kielelezo cha imani kubwa ambayo wananchi wa Uganda wanayo kwake na kwa chama cha NRM. Ameongeza kuwa matokeo hayo ya uchaguzi wa ushindani yanadhihirisha ukomavu wa kidemokrasia nchini Uganda.

"Ushindi wako wa kishindo unaonesha uaminifu ambao watu wa Jamhuri ya Uganda wanao kwa uongozi wako binafsi na imani inayofurahia chama cha NRM," Amesema Rais Ruto katika barua hiyo.

Rais Ruto pia amewapongeza wananchi wa Uganda na wadau wote kwa kufanya uchaguzi wa amani, akibainisha kuwa utulivu huo ni muhimu kwa maendeleo ya kanda ya Afrika Mashariki
============

President William Ruto has formally congratulated Uganda’s President-elect Yoweri Museveni following the announcement of his re-election on 17 January, 2026.

In a congratulatory message, Ruto said the result reflects the trust that the people of the Republic of Uganda have in their personal leadership and the confidence enjoyed by the NRM party.

Ruto commended what he described as a peaceful poll and credited Ugandans for strengthening democratic institutions.

“Following the formal pronouncement of your re-election as the President of the Republic of Uganda last evening, 17 January, 2026, I convey, on behalf of the Government and people of the Republic of Kenya and my own behalf, my warm congratulations and best wishes to Your Excellency and to the great people of Uganda,” Ruto said.

“Your decisive victory at the just-concluded competitive General Election reflects the trust that the people of the Republic of Uganda have in your personal leadership and the confidence enjoyed by the NRM party. I am certain your re-election reinvigorates Your Excellency's resolve to accelerate the transformation of your country.”

He underscored longstanding bilateral ties, reaffirming Nairobi’s commitment to regional cooperation.

“For undertaking a peaceful election, I sincerely commend the people of Uganda and all stakeholders in the electoral process, which attests to the democratic maturity of Uganda,” the president said.

“Dear Brother, our two countries enjoy deep fraternal bonds, which will no doubt benefit from your unwavering commitment. I reaffirm the readiness of the Government of the Republic of Kenya to work with Your Excellency to advance our shared priorities for the mutual socio-economic benefit of the citizens of Kenya and Uganda as well as our region and the continent.”

Museveni’s re-election extends his decades-long tenure and draws regional attention as East Africa manages shifting political and economic dynamics.

Museveni, 81, was declared the winner of Uganda’s January 15, 2026, presidential election, extending his remarkable hold on power to a seventh term.
 
Back
Top Bottom