Rais wa Kenya William Samoel Ruto kulihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mei 5, 2026

Rais wa Kenya William Samoel Ruto kulihutubia Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mei 5, 2026

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, May 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika Daniel Baran Sillo (MB), ametoa taarifa hiyo kwa Wabunge wa Tanzania kuhusu ujio wa ugeni wa Rais wa Jamhuri ya Kenya leo Aprili 29, 2026 Bungeni Dodoma

 
Anakuja kuwajibu kuwa Kenya inamtandao mkubwa wa barabara kuliko Tanzania.Maana waziri ulega alianza kupika takwimu kuudanganya umma kuwa Tz inamtandao mkubwa wa barabara kuliko Kenya kitu ambacho ni UONGO.sasa Ruto ameamua aje kuwavua nguo wapika data za uongo
 
Kenyan President William Ruto is expected to address the Parliament of Tanzania on May 5, 2026, starting at 11:00am.

Deputy Speaker Daniel Sillo said the event is aimed at strengthening cooperation and brotherhood between Tanzania and Kenya.
Screenshot 2026-04-29 004935.jpg

=============

President William Ruto is expected to deliver a special address to the Tanzanian Parliament on May 5, 2026, at 11am, the neighbouring nation's National Assembly Deputy Speaker Daniel Sillo has confirmed.

The address, which was also confirmed on Wednesday by a senior State House official, will see the Head of State address the Tanzanian lawmakers on various issues aimed at strengthening cooperation and brotherhood between Kenya and Tanzania.

===========

Rais wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Tanzania tarehe 5 Mei 2026, kuanzia saa 5:00 asubuhi.


Naibu Spika, Daniel Sillo, amesema tukio hilo linalenga kuimarisha ushirikiano na undugu kati ya Tanzania na Kenya.

Source: kenyans.co.ke
 
Kenyan President William Ruto is expected to address the Parliament of Tanzania on May 5, 2026, starting at 11:00am.

Deputy Speaker Daniel Sillo said the event is aimed at strengthening cooperation and brotherhood between Tanzania and Kenya.

===========

Rais wa Kenya, William Ruto, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Tanzania tarehe 5 Mei 2026, kuanzia saa 5:00 asubuhi.


Naibu Spika, Daniel Sillo, amesema tukio hilo linalenga kuimarisha ushirikiano na undugu kati ya Tanzania na Kenya.

The AXIS OF EVIL .... Kenya, Tazania na Uganda.

Anajiandalia mazingira ya 2027 huyo.
 
Kenya inakuja kutangaza kuridhia kushirikiana Tanzania kujenga Kiwanda cha kuchakata na kusafisha mafuta katika mji wa Tanga.

Na kwamba nchi yake ipo tayari ku'support" mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda linapitia Tanzania!
 
Rais wa Jamhuri ya Kenya Wiliam Ruto, anatarajiwa kuja Tanzania na kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, May 5, 2026 siku ya Jumanne Bungeni Jijini Dodoma.

Naibu Spika Daniel Baran Sillo (MB), ametoa taarifa hiyo kwa Wabunge wa Tanzania kuhusu ujio wa ugeni wa Rais wa Jamhuri ya Kenya leo Aprili 29, 2026 Bungeni Dodoma
well done republic of Kenya & Tanzania,

welcome President William Samoe Ruto to Tanzania
 
Bora kumsikiliza Ruto kuliko Samuya.
 
Back
Top Bottom