Rais wa Klabu ya mpira PAOK avamia uwanja akiwa amebeba bastola ili kupinga goli lililokataliwa dakika za lala salama

Rais wa Klabu ya mpira PAOK avamia uwanja akiwa amebeba bastola ili kupinga goli lililokataliwa dakika za lala salama

Kuna pesa nyingi Sana imewekezwa huko robo ya pesa imewekezwa kwenye michezo na kamari
 
hii mechi ndio ilinikatisha tanmaa katika kubti...nilichza live nikaweka stake ya elfu ishirin dakika ya 84 paok kapewa point 5..ili ashinde...dakika ya 89 anapata goal...gafla nashangaa likafutwa..nilikuwa ver dissapointed...
 
Back
Top Bottom