Rais wa Korea Kaskazini apoteza zaidi ya kg 40 toka January 2021

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Katika kile kinachoonekana kama athari za ugonjwa wa kisukari ama matumizi ya teknolojia za AI katika matibabu ya bwana Kim hatimaye ameweza kupungua uzito zaidi ya kilo 40 toka mwanzoni mwa mwaka huu

Ikumbukwe mpaka mwaka 2019 bwana mdogo Kim mwenye umri wa miaka 37 alikuwa na uzito wa zaidi ya kg 140

====

 
KApicha
 
Kwani Korea kaskazn Kuna maendeleo gani zaidi ya njaa tu

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
Akili zakuambiwa changanya nazakwako, yan mtu anauwezo wakua nateknolojia kubwa yakurutubisha uranium ikawa atomic bomb, anaminyambiz yakivita halafu mtu mmoja huku vichakan anasema kunanjaa, aweze kurusha maroketi ashindwe teknolojia yakilimo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…