Rais wa Korea Kaskazini apoteza zaidi ya kg 40 toka January 2021

Rais wa Korea Kaskazini apoteza zaidi ya kg 40 toka January 2021

Navipataje
Cheki wamasai wanavyo,Ila utaharisha mpk urudishie puru kwa kidole mzee.

Fanya intermittent fasting ndio Tiba hio,hizi nyingine utaharisha tu nakupungukiwa maji mwilini na uzito(water weight) kuonekana umepungua kidogo lkn sio sustainable.
 
Ha haaa,,nimecheka balaa.kilikukuta kitu
 
Katika kile kinachoonekana kama athari za ugonjwa wa kisukari ama matumizi ya teknolojia za AI katika matibabu ya bwana Kim hatimaye ameweza kupungua uzito zaidi ya kilo 40 toka mwanzoni mwa mwaka huu

Ikumbukwe mpaka mwaka 2019 bwana mdogo Kim mwenye umri wa miaka 37 alikuwa na uzito wa zaidi ya kg 140

====

KAPENDEZAA
 
Back
Top Bottom