Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Hawa watamla kidogo. Wale wengine ni walafi.sasa hao urusi na korea kaskazini watamlinda na kumsaidia kijeshi bure?
Hawa watamla kidogo. Wale wengine ni walafi.sasa hao urusi na korea kaskazini watamlinda na kumsaidia kijeshi bure?
Swali zuri sana hilisasa hao urusi na korea kaskazini watamlinda na kumsaidia kijeshi bure?
Potelea Pote Mkuu Kheri Shari Kamili Kuliko Nusu ShariIlipo urusi na korea ya kaskazini ipo, traore ni kijana wa putin na rafiki wa putin kiduku atamsaidia, ila hii si nzuri sana traore kuifanya burkina faso kuwa ni uwanja wa kutunushiana misuli kati ya marekani na washirika wake na upande wa urusi na washirika wake
France kanuna anaona kama anaporwa tonge mdomoni.