Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akikaguwa shamba la mpunga

Je Kuna Kiongozi wowote wa Bara la Afrika anaweza kufanya kama alivyofanya huyu Mtemi wa Korea ya Kaskazini? Thubutu yake Hakuna kiongozi wa Bara la Afrika anayeweza kufanya hivi
Hizo gaps zinaweza kuondoa uhai wa mtu kwa risasi

1707586507310.png
 
Wa kwetu wakifanya hivi basi ni kuwaokota maboya kama afanyavyo Makonda
 
je wajua ni shart ni amri kila memba wa kaya mwenye umri wa miaka 18 na zaidi ni lazima azalishe 10kgs za mavi kwaajili ya mbolea ya mashamba ya serikali mwamba kaua viwanda vyote vya mbolea budget yote inaelekea kujenga ma nukes
 
Yanapenda show off kinoma! Kukagua shamba la mpunga? Lengo ni kujionesha wako karibu na wakulima for their political advantages! Nothing else!
Tukipunguza inda tutafika mbali......mlipenda akague kitu gani ili asionekane Ni dictator na asiependa kujionyesha
Propaganda zisitufanye kumchukia mtu tusiekuwa na mahusiano nae wala kushirikiana nae
Hayo Mambo tumuachie Yeye na mahasimu wake
 
je wajua ni shart ni amri kila memba wa kaya mwenye umri wa miaka 18 na zaidi ni lazima azalishe 10kgs za mavi kwaajili ya mbolea ya mashamba ya serikali mwamba kaua viwanda vyote vya mbolea budget yote inaelekea kujenga ma nukes
Seriously?
 
View attachment 2899942
Je Kuna Kiongozi wowote wa Bara la Afrika anaweza kufanya kama alivyofanya huyu Mtemi wa Korea ya Kaskazini? Thubutu yake Hakuna kiongozi wa Bara la Afrika anayeweza kufanya hivi
Propaganda za namna hii mara nyingi hutumiwa na Madikteta/Wakomunist Ili Kupumbaza
Hitler, Sokoine, Kagame, Saddam, Magufuli walitengeneza comedy za namna hii kujifanya wako karibu sana na Wananchi wa chini
Ccm wameona umuhimu wa hilo na ndio maana unaona Makonda yuko onboard
 
Tukipunguza inda tutafika mbali......mlipenda akague kitu gani ili asionekane Ni dictator na asiependa kujionyesha
Propaganda zisitufanye kumchukia mtu tusiekuwa na mahusiano nae wala kushirikiana nae
Hayo Mambo tumuachie Yeye na mahasimu wake

Kagua viwanda vikubwa na miradi ya maana, sio mashamba ya mpunga
 
Itakuwa hufuatilii taarifa zake kutokana na inda uliyonayo juu yake mara nyingi huonyeshwa akiwa kwenye ukaguzi wenye hightech industry .......Hilo la majarubani Ni geni na.ndo Maana limekwenda hewani kwa kasi

Jamaa Ni bingwa na kiburi mbele ya wanaojifanya majeuri
 
Back
Top Bottom