Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akikaguwa shamba la mpunga

Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akikaguwa shamba la mpunga

View attachment 2899942
Je Kuna Kiongozi wowote wa Bara la Afrika anaweza kufanya kama alivyofanya huyu Mtemi wa Korea ya Kaskazini? Thubutu yake Hakuna kiongozi wa Bara la Afrika anayeweza kufanya hivi
Sijaona kitu kigumu hapa. Nlidhani kuna issue ya maana au ngumu kwa Kiongozi mwingine kufanya. Hii ya maigizo ni kawaida sana.
 
Kagua viwanda vikubwa na miradi ya maana, sio mashamba ya mpunga
Kila jamii na vipaombele vyake, kama kwetu umuhimu ni viwanda vikubwa kwao ni mashamba ya mpunga.
Na hii picha ni mahsusi kwa wakorea, sisi ni wapiga chabo tu.
 
download (9).jpeg
 
Propaganda za namna hii mara nyingi hutumiwa na Madikteta/Wakomunist Ili Kupumbaza
Hitler, Sokoine, Kagame, Saddam, Magufuli walitengeneza comedy za namna hii kujifanya wako karibu sana na Wananchi wa chini
Ccm wameona umuhimu wa hilo na ndio maana unaona Makonda yuko onboard
Na propaganda za wademokrasia ni kucheza na watoto white house au kula kwa mama lishe
Wanasiasa wote ni sawa Jenga njia Yako huna haja ya kuwaamini
 
Viongozi Wa Africa hawawezi Kuingia Humo Ndani ya Maji Tena machafu Kwa Wao wanacho taka Kutukuzwa na Na Kuabudiwa Sanaa na Hiyo ni kama laana Haimwachi Mtu Mweusi Salama ndo Maana Leo Bara la Africa lote Hali Zao Ni Moja wanafanana Kwa Kila Kitu Kibaya Kama Umetembea Africa hii Ndo Utajua Ukweli huu
 
Back
Top Bottom