Rais wa Korea ya Kaskazini Kim Jong Un akikaguwa shamba la mpunga

View attachment 2899942
Je Kuna Kiongozi wowote wa Bara la Afrika anaweza kufanya kama alivyofanya huyu Mtemi wa Korea ya Kaskazini? Thubutu yake Hakuna kiongozi wa Bara la Afrika anayeweza kufanya hivi
Sijaona kitu kigumu hapa. Nlidhani kuna issue ya maana au ngumu kwa Kiongozi mwingine kufanya. Hii ya maigizo ni kawaida sana.
 
Kagua viwanda vikubwa na miradi ya maana, sio mashamba ya mpunga
Kila jamii na vipaombele vyake, kama kwetu umuhimu ni viwanda vikubwa kwao ni mashamba ya mpunga.
Na hii picha ni mahsusi kwa wakorea, sisi ni wapiga chabo tu.
 
Na propaganda za wademokrasia ni kucheza na watoto white house au kula kwa mama lishe
Wanasiasa wote ni sawa Jenga njia Yako huna haja ya kuwaamini
 
Viongozi Wa Africa hawawezi Kuingia Humo Ndani ya Maji Tena machafu Kwa Wao wanacho taka Kutukuzwa na Na Kuabudiwa Sanaa na Hiyo ni kama laana Haimwachi Mtu Mweusi Salama ndo Maana Leo Bara la Africa lote Hali Zao Ni Moja wanafanana Kwa Kila Kitu Kibaya Kama Umetembea Africa hii Ndo Utajua Ukweli huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…