Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania kuhutubia Baraza Kuu la Usalama la 76 New York, tarehe 23|9|2021, fahari iliyoje kwa nchi yetu

Mitego ya Rais Samia ya Royal Tour yanasa TZS 158.4bl | Hoteli nne kubwa za kitali hadhi ya Kempinski kujengwa Serengeti, Ngorongoro,Manyara & Tarangire,

________________________________

Wawekezaji toka Bulgaria matokeo ya Royal Tour kuwekeza US$ 72M karibu sawa na Tsha 158.4BL kwa kujenga Hotel nne kubwa za nyota tano ( Five Stars Hotel ) katika mbunga za Serengeti, Ngorongoro, Manyara & Tarangire,

Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi kifupi cha miezi sita umeonesha matokea makubwa katika kila kona ya nchi, madhalani uwekezaji tayari umekua kwa 400% toka uwekezaji wa US$ 510M hadi US$ 2.98BL sawa na Tshs 7trilioni pesa ambayo itamfikila kila Mtanzania popote alipo katika njia moja au nyingine,

#Mliokuwa mnalalamikia gharama ya Royal Tour mnasemaje kuhusu hizi bilioni 158.4 za fasta !??


.........Kazi iendelee.........
 
CCM moto mkali awamu hii,
 
Tanzania itaishia tens kwenye ramani ya dunia,Kama enzi za Mwalimu Nyerere.nchi yetu ilifahamika na kuwa na marafiki wengi Sana duniani.
Wakati wa Nyerere Tanzania ilifahamika na kusifika kwa sababu ya misimamo yake ya kutopenda dhulma, ubaguzi wa rangi na ukandamizaji hasa kwa nchi za Kiafrica, pia kwa kutosimama upande wowote wakati ule wa vita baridi kati ya mabepari na wakomonisti. Sasa hivi tuanze kujenga legancy yetu kwa namna fulani
 
Wewe mnafiki hebu fumba mdomo wako.
Kila upumbavu alioufanya Magufuli ulikuwa ukiushadadia, Leo hii unajifanya kujikosha na kuipondea serikali ya Magufuli.
 
wakati maza anahutubia kama hawa marais walikuwemo ukumbini basi nihukumiwe - Biden, Xi Jinping, Emmanuel Macron, Vladimir Putin na Boris Johnson.
 
wakati maza anahutubia kama hawa marais walikuwemo ukumbini basi nihukumiwe - Biden, Xi Jinping, Emmanuel Macron, Vladimir Putin na Boris Johnson.
Wanafanya nn? Biden nafikiri alienda juzi akaongea kasepa kabisa wao kwenda kukaa mwezi kule hawaoni hatari
 
Huna uwezo wa kutumia rasilimali za nchi yako kwa ajili ya maendeleo ya watu wako hata kama utapata nafasi ya kuhutubia malaika haisaidii
 
Huna uwezo wa kutumia rasilimali za nchi yako kwa ajili ya maendeleo ya watu wako hata kama utapata nafasi ya kuhutubia malaika haisaidii
 
Unajua kabisa huu ni upotoshaji mkubwa..kuna mwenzio ameleta uzi kama huu muda si mrefu tumempa facts amekimbia...japo napongeza kama kweli kuna uwekezaji huu mkubwa waja lakini sio matokeo ya hiyo documentary ya Royal tour! waziri kadanganya tu kwa sababu zake...
 
Tanzania ya Samia ni noma,

Umeme bei Chee EAC
Petrol bei Chee EAC
Disel bei Chee EAC
M|taa bei Chee EAC
Data (MB) bei Chee EAC
Maji bei Chee EAC
 
Tanzania yaongoza kwa bei ndogo ya mafuta ya taa, disel na Petrol Afrika Mashariki, Kenya bei juu

#HONGERA RAIS SAMIA
 
Nyie chadema ndio mlituchelewesha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…