Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwakyembe anasema ngome ya ushoga Tanzania ni Arusha, au hujamsikia?
Tena wachungaji ndiyo waliotajwa hapo. Hujamsikilia?
Sisikilizi mambo ambayo hayajafanyiwa tafiti...hujamsikia huyo mwanaharakati akitaja maustaadhi wa Znz kushiriki michezo mibaya?
..hujasikia watu wakubwa kabisa toka Znz kuwa wanajihusisha na usagaji?
Siyo ajabu unaweza ukasema hata Dr. Hussein Mwinyi ni Mtanganyika!Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Mama Samia Suluhu Hassan ana asili ya kuzaliwa Zanzibar na wazazi wake wote kuzaliwa Zanzibar.
Ma shaa Allah, ukiisoma historia yake utaona kuwa kila sehemu ya kazi aliyopitia aliifanya kwa uadilifu, uaminifu na weledi mkubwa na kuwa anapanda tu vyeo, mpaka akafikia kuwa Makamu wa Rais na hatimaye sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alitia fora na alionesha umahiri mkubwa alipokuwa Naibu Spika kwenye bunge la Katiba mpya ambalo lilikuwa kivutio kikubwa cha malumbano kwa wakati ule wa Kikwete. Hapo ndipo mama Samia Suluhu Hassan akapata kujulikana.
Naam, hakuna ambae alikuwepo wakati huo na hakumuona umahiri wake. Wengi wakawa wanajiuliza, nani huyu mwanamke?
Leo hakuna asiyemjua Tanzania hii na duniani kuwa ni Rais wa kwanza Mwanamke Mzanzibari anayeiongoza Tanzania kwa umahiri mkubwa sana.
R zake nne anaziishi na hatetereki.
Mwenyezi Mungu amzidishie hekima na weledi atuongoze daima, akiwepo kwenye Uris na atapomaliza muda wake aendelee kutuongoza kwa hekima zake, kama afanyavyo Kikwete hivi sasa.
Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Pascal Mayalla angalia Dada yako alichoandika...Mama Samia tunakuomba mapema uchaguzi mkuu utakapokwisha na panapo majaaliwa basi uhakikishe katiba inabadilishwa na Zaznzibar inajitawala yenye ili tusiwe kama mazayuni.
Watanganyika hatuna sababu ya kuitawala Zanzibar bali tuna kila sababu ya Zanzibar kurudisha utawala wake ulioondoshwa na wakoloni wa Kijerumani ili wapate kuiba vozuri mali za ardhi ya Zenjbar kihistoria.
Maadam asili ya mtu, sii miongoni mwa sifa za urais wa Tanzania wala urais wa Zanzibari, mtu kuwa Mzanzibari sii lazima asili yake iwe ni Zanzibar, mtu kuwa rais wa Zanzibar, anachohitaji ni kuwa tuu na sifa za Ukaazi, hata kama ni Mbara. Karume asili yake Malawi, mbona alikuwa rais wa Zanzibar?!. Mbona kuna Wazanzibari wengi tuu wamezaliwa Zanzibar lakini asili za mababu zao ni Oman lakini sasa ni Wazanzibari. Wazanzibari wenyewe wa asili halisi ya Zanzibar ni Wakwezi na Wahadimu wa ukoo wa Mwinyikuu!. Jee wajua hata Sultan SeZanzibar kutoka Oman, na kuihamishia sulltanet yake Zanzibar, ni alivamia tuu?. Leo wavamizi ndio wanaitwa wenye asili, halafu wenye asili yao wenyewe wanaonekana wakuja!.Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Sisikilizi mambo ambayo hayajafanyiwa tafiti.
Mwakyembe najuwa amefanya tafiti za kina.
Dada yangu huyu hamjui Samia na Muungano!, "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza, huyu ndiye Samia!.Pascal Mayalla angalia Dada yako alichoandika...
Inasikitisha mtu anapoacha historia mbayaKiufupi Samia atakumbukwa Kwa kutuharibia Tanganyika yetu.Tusiruhusu Tena kurithisha majitu ambayo hayaelewekieleweki.katiba ya kurithisha ibadilishwe.
Mimi nimsikia Mwakyembe, alipoitisha mkutano zaidi ya mmoja kuhusu ushoga Tanzania...Mwanaharakati wa Znz kafanya utafiti anasema Zanzibar imekubuhu kwa michezo michafu.
..pia mshika usukani toka Znz anatuhumiwa kujihusisha na usagaji.
📌🔨Maadam asili ya mtu, sii miongoni mwa sifa za urais wa Tanzania wala urais wa Zanzibari, mtu kuwa Mzanzibari sii lazima asili yake iwe ni Zanzibar, mtu kuwa rais wa Zanzibar, anachohitaji ni kuwa tuu na sifa za Ukaazi, hata kama ni Mbara. Karume asili yake Malawi, mbona alikuwa rais wa Zanzibar?!. Mbona kuna Wazanzibari wengi tuu wamezaliwa Zanzibar lakini asili za mababu zao ni Oman lakini sasa ni Wazanzibari. Wazanzibari wenyewe wa asili halisi ya Zanzibar ni Wakwezi na Wahadimu wa ukoo wa Mwinyikuu!. Jee wajua hata Sultan SeZanzibar kutoka Oman, na kuihamishia sulltanet yake Zanzibar, ni alivamia tuu?. Leo wavamizi ndio wanaitwa wenye asili, halafu wenye asili yao wenyewe wanaonekana wakuja!.
Ni kweli kabisa, Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu, ili muda alioutumia kusoma Zanzibar na kuishi Zanzibar, ulimfanya kuwa na sifa ya Uzanzibar, ukaazi.
Pasco
Hii siyo sera ya ya chama chochote.Hii Sio sera ya CHADEMA kweli??
Kwa hiyo umekubaliana nami kuwa Rais mwenye asili ya Zanzibar ni mama Samia Hassan Suluhu pekee toka muungano uanzishe. Au siyo?Maadam asili ya mtu, sii miongoni mwa sifa za urais wa Tanzania wala urais wa Zanzibari, mtu kuwa Mzanzibari sii lazima asili yake iwe ni Zanzibar, mtu kuwa rais wa Zanzibar, anachohitaji ni kuwa tuu na sifa za Ukaazi, hata kama ni Mbara. Karume asili yake Malawi, mbona alikuwa rais wa Zanzibar?!. Mbona kuna Wazanzibari wengi tuu wamezaliwa Zanzibar lakini asili za mababu zao ni Oman lakini sasa ni Wazanzibari. Wazanzibari wenyewe wa asili halisi ya Zanzibar ni Wakwezi na Wahadimu wa ukoo wa Mwinyikuu!. Jee wajua hata Sultan SeZanzibar kutoka Oman, na kuihamishia sulltanet yake Zanzibar, ni alivamia tuu?. Leo wavamizi ndio wanaitwa wenye asili, halafu wenye asili yao wenyewe wanaonekana wakuja!.
Ni kweli kabisa, Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu, ili muda alioutumia kusoma Zanzibar na kuishi Zanzibar, ulimfanya kuwa na sifa ya Uzanzibar, ukaazi.
Pasco
Wengi wepi hao?, umewajuaje?. Maadam Zanzibar wana sheria ya referendum, Wanzanzibari waulizwe, kama ni kweli wengi wanataka hivyo, na sisi tuuliizwe, tusipotaka, muungano unaendelea hivi hivi ulivyo!.Tuwape wengi, wengi wanataka kila nchi iwe na serikali yake na kuwe na serikali skeleton ya Muungano. Simpo.
Ni kweli, na rais pekee mwenye asili halisi ya Tanzania ni JK!.Kwa hiyo umekubaliana nami kuwa Rais mwenye asili ya Zanzibar ni mama Samia Hassan Suluhu pekee toka muungano uanzishe. Au siyo?
Naomba link, niutembelee!.Uienda uzi wa Kabendera kujibu tuhuma? au umekuwa ni mwiba kwako?
Dr. Hussein Mwinyi ni Mzanzibar si Mzanzibar?Nijuavyo alizaliwa Zanzibar na mamake ni Mzanzibari asili.
Mzee albobea kwenye mambo ya dini, kwenye elimu dunia alikuwa mtupu...alikwenda kusoma Dini.
..Zanzibar na Mombasa kipindi hicho kulikuwa na Masheikh wakubwa wakitoa elimu ya Kiislamu.