Rais wa kwanza wa Tanzania mwenye asili ya Zanzibar ni Samia Suluhu Hassan

Vipi utatuambiaje Samia ni mzanzinar wakati ana wajomba Oman?
 
Mwakyembe anasema ngome ya ushoga Tanzania ni Arusha, au hujamsikia?

Tena wachungaji ndiyo waliotajwa hapo. Hujamsikilia?

..hujamsikia huyo mwanaharakati akitaja maustaadhi wa Znz kushiriki michezo mibaya?

..hujasikia watu wakubwa kabisa toka Znz kuwa wanajihusisha na usagaji?
 
..hujamsikia huyo mwanaharakati akitaja maustaadhi wa Znz kushiriki michezo mibaya?

..hujasikia watu wakubwa kabisa toka Znz kuwa wanajihusisha na usagaji?
Sisikilizi mambo ambayo hayajafanyiwa tafiti.

Mwakyembe najuwa amefanya tafiti za kina.
 
Siyo ajabu unaweza ukasema hata Dr. Hussein Mwinyi ni Mtanganyika!
 
Pascal Mayalla angalia Dada yako alichoandika...
 
Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu.
Maadam asili ya mtu, sii miongoni mwa sifa za urais wa Tanzania wala urais wa Zanzibari, mtu kuwa Mzanzibari sii lazima asili yake iwe ni Zanzibar, mtu kuwa rais wa Zanzibar, anachohitaji ni kuwa tuu na sifa za Ukaazi, hata kama ni Mbara. Karume asili yake Malawi, mbona alikuwa rais wa Zanzibar?!. Mbona kuna Wazanzibari wengi tuu wamezaliwa Zanzibar lakini asili za mababu zao ni Oman lakini sasa ni Wazanzibari. Wazanzibari wenyewe wa asili halisi ya Zanzibar ni Wakwezi na Wahadimu wa ukoo wa Mwinyikuu!. Jee wajua hata Sultan SeZanzibar kutoka Oman, na kuihamishia sulltanet yake Zanzibar, ni alivamia tuu?. Leo wavamizi ndio wanaitwa wenye asili, halafu wenye asili yao wenyewe wanaonekana wakuja!.

Ni kweli kabisa, Mzee Ali Hasssan Mwinyi hakuwa na asili ya Zanzibar, si kwa mama wala kwa baba. Kwao ni Mkuranga na alipelekwa Unguja kusoma tu, ili muda alioutumia kusoma Zanzibar na kuishi Zanzibar, ulimfanya kuwa na sifa ya Uzanzibar, ukaazi.

Pasco
 
Sisikilizi mambo ambayo hayajafanyiwa tafiti.

Mwakyembe najuwa amefanya tafiti za kina.

..Mwanaharakati wa Znz kafanya utafiti anasema Zanzibar imekubuhu kwa michezo michafu.

..pia mshika usukani toka Znz anatuhumiwa kujihusisha na usagaji.
 
Kiufupi Samia atakumbukwa Kwa kutuharibia Tanganyika yetu.Tusiruhusu Tena kurithisha majitu ambayo hayaelewekieleweki.katiba ya kurithisha ibadilishwe.
Inasikitisha mtu anapoacha historia mbaya
 
..Mwanaharakati wa Znz kafanya utafiti anasema Zanzibar imekubuhu kwa michezo michafu.

..pia mshika usukani toka Znz anatuhumiwa kujihusisha na usagaji.
Mimi nimsikia Mwakyembe, alipoitisha mkutano zaidi ya mmoja kuhusu ushoga Tanzania.

Katika mkutano wake wa Arusha akawapa za uso hapo hapo, kuwa ngome ya mashoga Tanzania ni Arusha, akawataja na wachungaji?

Unakubali au unakataa hilo?

Un
 
📌🔨
 
Hii Sio sera ya CHADEMA kweli??
Hii siyo sera ya ya chama chochote.

Hii imelenga kuonesha jinsi Wazanzibari wanavyoonewa. Kwa wenye kuelewa.

Miaka 60 ya muungano, Rais mwenye asili ya Zanzibari mmoja tu. Tena kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu.

Sawa hiyo?
 
Kwa hiyo umekubaliana nami kuwa Rais mwenye asili ya Zanzibar ni mama Samia Hassan Suluhu pekee toka muungano uanzishe. Au siyo?

Uienda uzi wa Kabendera kujibu tuhuma? au umekuwa ni mwiba kwako?
 
Tuwape wengi, wengi wanataka kila nchi iwe na serikali yake na kuwe na serikali skeleton ya Muungano. Simpo.
Wengi wepi hao?, umewajuaje?. Maadam Zanzibar wana sheria ya referendum, Wanzanzibari waulizwe, kama ni kweli wengi wanataka hivyo, na sisi tuuliizwe, tusipotaka, muungano unaendelea hivi hivi ulivyo!.
P
 
..alikwenda kusoma Dini.

..Zanzibar na Mombasa kipindi hicho kulikuwa na Masheikh wakubwa wakitoa elimu ya Kiislamu.
Mzee albobea kwenye mambo ya dini, kwenye elimu dunia alikuwa mtupu.

Nakumbuka akiwa mkuu wa chuo kikuu Dar kuna vijana walipata mkong'oto wa nguvu kwa kudharau elimu yake.

Mmoja wa viongozi wa DARUSO, Bwana Damian Babile alipigwa na FFU hadi kuvunjwa mkono, akalazwa Muhimbili chini ya ulinzi wa polisi.

Sijui baadaye alikwenda wapi, sikuwahi kumsikia tena tangu kipindi hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…