Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Iwapo kama waandishi wa habari, wanaharakati, na wananchi wengi watataka lifanyike linawezekana kwa pamojaMkuu kauli yako inachoma sana Moyoni maana ni zaidi ya maumivu kwa bara letu, wenyewe hatuwezi kulitetea mpaka jamaa wanatushangaa.
Lakini kwa mtu mmoja haliwezekani
Magu alijitahidi kiasi chake pindi alipoanza tu kazi lakini wote walikuwa upande mwingine
Wa kubadilika ni sisi wenyewe mkuu hakuna atakaetubadili
Huyo watamuona kama anaziba riziki zao tu