Iwapo kama waandishi wa habari, wanaharakati, na wananchi wengi watataka lifanyike linawezekana kwa pamoja
Lakini kwa mtu mmoja haliwezekani
Magu alijitahidi kiasi chake pindi alipoanza tu kazi lakini wote walikuwa upande mwingine
Wa kubadilika ni sisi wenyewe mkuu hakuna atakaetubadili
Huyo watamuona kama anaziba riziki zao tu