Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake.
Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya tukio hilo mbele ya kamera.Hata hivyo tukio hili halijawashangaza sana watu kwani rais huyo wa taifa lenye nguvu kabisa Duniani ambae amewahi kijiita ghaffe machine amewahi kufanya vituko vingine vingi kama vile kusinzia kwenye mikutano na vikao,kumtambulisha makamu wake kama rais au first lady,kusahau mlango wa kuingilia ofisini kwake na vijimatukio vingine ambavyo vinahusishwa zaidi na uzee kumzidi nguvu
Hii ingefanywa na rais wetu lazima wazee wa kilingeni kina Mshana Jr wangelihusisha na ndumba kama walivyolihusisha tukio la hayati JPM kule Ruangwa na ushirikina