Rais wa Marekani asalimia hewa tupu

Rais wa Marekani asalimia hewa tupu

Joe-Biden-Appears-To-Shake-Hands-With-Thin-Air-In-Latest-Gaffe_625a4739eee61.jpg

Huyo apo Kibabu Gula anasalimia Hewa
 
Huyo ni Marehemu zaidi ya karne sasa, hawezi kuwepo hapo.

Hivi hawawezi kumtoa kazini Biden kwa ugonjwa wa Dementia?
Kuhusu White House kuwa haunted wameliongelea sana na kuhusu Lincoln Kweli ni zamani ila mizimu yake bado ipo
Hii picha akionekana nyuma
Sijui niamini au
IMG_6353.jpg
 
Hivi hawawezi kumtoa kazini Biden kwa ugonjwa wa Dementia?
Kuhusu White House kuwa haunted wameliongelea sana na kuhusu Lincoln Kweli ni zamani ila mizimu yake bado ipo
Hii picha akionekana nyuma
Sijui niamini au View attachment 2192423

Hawa jamaa wanadhani sisi wapumbavu kiasi Cha kutaka kutuaminisha upuuzi huo🤔,waliyotulaghai kuhusu uwepo wa Mungu mmoja ulimwengu mzima INATOSHA SASA.
 
Kule Ukraine wakulima wanajinyakulia vifaru vya Warusi, sijui wanakwenda kuvitumia kwenye kufanyia kazi ipi

main-qimg-f3183df1c45ed69cae10d6e471878a05-lq
Kama bongo tuuu,matumizi mabaya ya rasmali.Massey furgason zinatumika kusomba taka badara ya kulima mashamba.So taka zinalipa zaidi kuliko kilimo
 
Alikuwa anasalimiana na "wasioonekana na wote". Kimsingi haya macho ya nyama na damu hayana uwezo wa kuona vyote. Ulimwengu wa roho upo na unaonekana kwa namna ya rohoni. Ulimwengu huu upo kwa upande wa Mungu na upo kwa upande wa shetani.

YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake.

Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya tukio hilo mbele ya kamera.Hata hivyo tukio hili halijawashangaza sana watu kwani rais huyo wa taifa lenye nguvu kabisa Duniani ambae amewahi kijiita ghaffe machine amewahi kufanya vituko vingine vingi kama vile kusinzia kwenye mikutano na vikao,kumtambulisha makamu wake kama rais au first lady,kusahau mlango wa kuingilia ofisini kwake na vijimatukio vingine ambavyo vinahusishwa zaidi na uzee kumzidi nguvu

Hii ingefanywa na rais wetu lazima wazee wa kilingeni kina Mshana Jr wangelihusisha na ndumba kama walivyolihusisha tukio la hayati JPM kule Ruangwa na ushirikina
Tupia video ya tukio basi..
 
wewe unaona hakuna mtu kumbe mwenzako alikuwa anampungia mkono marehemu mke wake
 
View attachment 2192274
Huyo apo Kibabu Gula anasalimia Hewa

Baada ya hotuba yake Rais kiprotokali alitegemea kuwepo mtu wa kumshukuru kwa hotuba yake nzuri aliyoitoa chuo kikuu cha North Carolina Agricultural and Technical State University bahati mbaya uongozi wa chuo kikuu ulipitiwa na protokali hiyo, hivyo Biden akaamua kujipongeza: video hapo chini :

Speaking at North Carolina Agricultural and Technical State University in Greensboro
 
Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake.

Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya tukio hilo mbele ya kamera.Hata hivyo tukio hili halijawashangaza sana watu kwani rais huyo wa taifa lenye nguvu kabisa Duniani ambae amewahi kijiita ghaffe machine amewahi kufanya vituko vingine vingi kama vile kusinzia kwenye mikutano na vikao,kumtambulisha makamu wake kama rais au first lady,kusahau mlango wa kuingilia ofisini kwake na vijimatukio vingine ambavyo vinahusishwa zaidi na uzee kumzidi nguvu

Hii ingefanywa na rais wetu lazima wazee wa kilingeni kina Mshana Jr wangelihusisha na ndumba kama walivyolihusisha tukio la hayati JPM kule Ruangwa na ushirikina
Labda ana wadau au walinzi wasioonekana!
 
Taifa kubwa kama U.S lazima liongozwe na masonic. Watawala wa hii dunia (mashetani) hawawezi kumwacha kiranja wa dunia hivihivi. Dizaini D. Trump alikuwa akijitahidi kuwakwepakwepa ila waaapi ...

unajua wengi hawajui ni kwanini shetani huwa anaitwa "mkuu wa ulimwengu huu" au "mungu wa dunia hii" 2Kor 4:4

JESUS IS LORD
Asante mkuu nilikuwa nautafuta sana huu mstari
 
Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake.

Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya tukio hilo mbele ya kamera.Hata hivyo tukio hili halijawashangaza sana watu kwani rais huyo wa taifa lenye nguvu kabisa Duniani ambae amewahi kijiita ghaffe machine amewahi kufanya vituko vingine vingi kama vile kusinzia kwenye mikutano na vikao,kumtambulisha makamu wake kama rais au first lady,kusahau mlango wa kuingilia ofisini kwake na vijimatukio vingine ambavyo vinahusishwa zaidi na uzee kumzidi nguvu

Hii ingefanywa na rais wetu lazima wazee wa kilingeni kina Mshana Jr wangelihusisha na ndumba kama walivyolihusisha tukio la hayati JPM kule Ruangwa na ushirikina
Picha mkuu
 
Back
Top Bottom