Rais wa Marekani asalimia hewa tupu

Huyo ni Marehemu zaidi ya karne sasa, hawezi kuwepo hapo.

Hivi hawawezi kumtoa kazini Biden kwa ugonjwa wa Dementia?
Kuhusu White House kuwa haunted wameliongelea sana na kuhusu Lincoln Kweli ni zamani ila mizimu yake bado ipo
Hii picha akionekana nyuma
Sijui niamini au
 
 
Kule Ukraine wakulima wanajinyakulia vifaru vya Warusi, sijui wanakwenda kuvitumia kwenye kufanyia kazi ipi

Kama bongo tuuu,matumizi mabaya ya rasmali.Massey furgason zinatumika kusomba taka badara ya kulima mashamba.So taka zinalipa zaidi kuliko kilimo
 
Alikuwa anasalimiana na "wasioonekana na wote". Kimsingi haya macho ya nyama na damu hayana uwezo wa kuona vyote. Ulimwengu wa roho upo na unaonekana kwa namna ya rohoni. Ulimwengu huu upo kwa upande wa Mungu na upo kwa upande wa shetani.



YESU NI BWANA NA MWOKOZI
 
Tupia video ya tukio basi..
 
wewe unaona hakuna mtu kumbe mwenzako alikuwa anampungia mkono marehemu mke wake
 
View attachment 2192274
Huyo apo Kibabu Gula anasalimia Hewa

Baada ya hotuba yake Rais kiprotokali alitegemea kuwepo mtu wa kumshukuru kwa hotuba yake nzuri aliyoitoa chuo kikuu cha North Carolina Agricultural and Technical State University bahati mbaya uongozi wa chuo kikuu ulipitiwa na protokali hiyo, hivyo Biden akaamua kujipongeza: video hapo chini :


Speaking at North Carolina Agricultural and Technical State University in Greensboro
 
Labda ana wadau au walinzi wasioonekana!
 
Asante mkuu nilikuwa nautafuta sana huu mstari
 
Picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…