Wameishindwa kuiteka strait of hormuz seuze dunia.Ulaya kazi wanayo.
Sema Marekani na Israel wakiwa na jeshi la pamoja mfano wa NATO wanaweza kuiteka dunia.
Unauhakika mpaka sasa dunia haijatekwa na hao wa marekani?Wameishindwa kuiteka strait of hormuz seuze dunia.
Walokole mnachekesha sana.
Una maanisha nini kusema kua wameiteka Dunia kijamii?Kiteknolojia na kijamii
Imefanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa sana juu ya utamaduni, mawasiliano, na maisha ya watu duniani.Una maanisha nini kusema kua wameiteka Dunia kijamii?
Bado hujajibu swali langu,Imefanikiwa kuwa na ushawishi mkubwa sana juu ya utamaduni,mawasiliano na maisha ya watu duniani
Hata huku Afrika Mashariki kwenye mwambao wa bahari ya Hindi kuna mashoga wengi pia kutokana na mwingiliano na jamii ya kiarabu wakati wa biashara haramu ya utumwa.Bado hujajibu swali langu,
Unaongelea utamaduni upi?
Mfano,kwao ushoga pia ni utamaduni,familia yote kujiingiza kuact movies za porno ni jambo la kawaida.
Hivi ndio umejibu swali langu?Hata huku Afrika Mashariki kwenye mwambao wa bahari ya Hindi kuna mashoga wengi pia kutokana na mwingiliano na jamii ya kiarabu wakati wa biashara haramu ya utumwa.