Rais wa Marekani, Donald Trump Amethibitisha Kifo cha Khamenei

Victory to Iran🧘

Screenshot_20260301-011250.jpg
 
Utakuta muafrika hajawahi iongelea Congo wala Sudan.. Ila vita ya mashariki ya kati anaiwekea hadi status ama profile picture whatsapp.

Hata hivyo wacha wafu mzikane
 
Sema wewe akili zako ndo finyu.
 
Aisee binadamu tunajisahau sana.

Watu wanafurahia damu kumwagika!
Nani ataishi milele
 
Kwa umri huo naye atapewa mabikira 72? Naomba makobaz majibu
adriz MOTOCHINI zitto junior
Ingawa sio kobazi ila ni ujinga kudhani kuua kiongozi wa nchi ndio kutamaliza utawala wa Ayatollah.

Obvious ameshateuliwa mwingine na maisha yanaendelea kama Venezuela tu. So kama mlidhani hii ndio ingekua ahueni kwa Israel na US mmejidanganya
 
Aa wapi hao maayatolla wajao hawana ubavu wa kunukisha ushuzi kwa watabe unadhani hawaogopi?
Wewe ungeweza kuchezea sharubu za Simba?
 
Kwanini washindwe? Kabla ya khamenei si alikuwepo khomeini je umeona alipoa? Na kabla ya khomeini hao USA walimpindua Mosadegh. Maana yake waliofuata hawakuogopa kuuwawa na hakuna Ayatollah aliyepoa mpaka leo, anayekuja naye atakua mara tatu ya huyu.

Nchi haibadiliki kwa kurusha mabomu na kuua viongozi wao, ona Libya, Syria, Afghanistan na Iraq nini kimebadilika?
 
Back
Top Bottom