Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
We jamaa ni muongo muongo sana na pasipo bahati JF sikuhizi wengi ni wafata upepo unawaokota sana
Hongera
Hongera
Nimepata kitu apoHahahaa!
Vizuri umekubali kuwa Secretary of Defense ndo mwenye mamlaka ya kisheria ya kumwapisha Chairman of the Joint Chiefs of Staff na siyo rais, kama vile ambavyo mwanzisha mada alivyodai.
Watu ni waongo sana.
Jamaa kajitungia tu mambo kichwani mwake na kuja kupotosha hapa.
NakaziaUtaratibu wao umekaa vyema sana. Marekani wanakula kiapo cha maadili na utii wa Katiba na kwa nchi, wakati nchi nyingine wanakula viapo vya utii kwa marais.
"I, Yoda do solemnly swear that I will support and defend the Constitution of the United States against all enemies, foreign and domestic; that I will bear true faith and allegiance to the same; that I take this obligation freely, without any mental reservation or purpose of evasion; and that I will well and faithfully discharge the duties of the office on which I am about to enter. So help me God."
Kwa kiapo hicho utaapishwa na msimam8zivwa viapo au supervisor wako au mwingine yeyote, siyo rais. Wengine endeleeni na utii kwa marais
Vizuri.Nimepata kitu apo
waambie waendelee hivyo hivyo na waAfrica tunasonga mbele mwendo wa ngiri na utaratibu wetu wa viapo vya utii kwa mamlaka na utusmishi wa umma kwa mujibu wa sheria na katiba ya wananchi.Tofauti na marais wengi duniani ambao huwaapisha kiapo cha utumishi maafisa na watumishi lukuki wa serikali na mihimili mingine ya nchi, rais wa Marekani kiutamaduni yeye huwa anamuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani/mwenyekiti wa kamandi za jeshi la Marekani tu.
Mawaziri na watumishi katika vyeo vingine vikubwa huwapishwa na makamu wa rais, jaji mkuu na majaji wengine wote wanapishana wenyewe na wanajeshi pia huwa wanaapishana wenyewe kwa wadogo kuapa kwa wenye vyeo vya juu yao.
Katika kiapo chao pia huwa hakuna kipengele cha kutokutoa siri ila siri za usalama wa taifa huwa zinatunzwa sana!