Rais wa Marekani humuapisha mkuu wa majeshi ya Marekani tu!

We jamaa ni muongo muongo sana na pasipo bahati JF sikuhizi wengi ni wafata upepo unawaokota sana
Hongera
 
Nimepata kitu apo
 
Nakazia
 
huku kwetu mpaka na sheree na MC anatafutwa akitoka kuapishwa
 
waambie waendelee hivyo hivyo na waAfrica tunasonga mbele mwendo wa ngiri na utaratibu wetu wa viapo vya utii kwa mamlaka na utusmishi wa umma kwa mujibu wa sheria na katiba ya wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…