Rais wa misiba Tanzania bara na Visiwani

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani, na kila mtu maarufu anayekufa ni ndugu yake na anamjua vizuri. Mungu aendelee kumpa maisha marefu ili watanzania tuzifaidi faraja zake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NIMEKUELEWA sana! Shukrani mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Najua unanichokoza kuku wee. Naenda mwambia unamsema na alivyo na mdomo utalove show
Ha ha .
Nisamehe love.
Usimwambie bwana, umeamka poa lakini?
 
Huyo jamaa mbona kitengo cha daftari la michango anakipenda sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…