screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani, na kila mtu maarufu anayekufa ni ndugu yake na anamjua vizuri. Mungu aendelee kumpa maisha marefu ili watanzania tuzifaidi faraja zake.