Rais wa misiba Tanzania bara na Visiwani

Ila ukitembelewa na jiwe kipindi unaumwa ni mikosi
Yeye alimtembelea lini kama sio mwezi January kabla hajaenda kutibiwa nje? Siku zako zikifika hata kama baba yako ndio atakutembelea utakufa tu. Acha kuleta mawazo ya kijinga ya chadema hapa.
 
Watanzania ni Malimbukeni sana, Mtu hata akifanya lililo jema tunamnanga.

Sijui twaaka Mtu afanye nini.
 
Kuna dem mmoja wa bongo movie nataka nipige ngoja nikatafute ka Steve kanipigie pande!
 
Huyo Nyerere wanaombeza wote ni wale ambao misibani hawafiki au wakifika wanakuja kuuza sura.
Msiba sio jambo la kubeza na kumtukana mtu anaetoa hamasa mpaka marehemu akazikwa anavyostahili
Likikufika ndio utaona umuhimu wa msaada,
 
Aliyekwambia kwamba bila Steve marehemu hatazikwa nani?
 
Aliyekwambia kwamba bila Steve marehemu hatazikwa nani?
misiba au maradhi yanayohusisha wasanii wote ni mashahidi jinsi watu wanavyohaha
Halijakupata,usiombe wala kubeza,wasanii wenzako wote watakukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…