Mogan Mogan
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 203
- 144
Inalillah waina illah Raj'unNawakumbusha tu, R.I.P KingMajuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inalillah waina illah Raj'unNawakumbusha tu, R.I.P KingMajuto
Tukutane leadersNawakumbusha tu, R.I.P KingMajuto
Yeye alimtembelea lini kama sio mwezi January kabla hajaenda kutibiwa nje? Siku zako zikifika hata kama baba yako ndio atakutembelea utakufa tu. Acha kuleta mawazo ya kijinga ya chadema hapa.Ila ukitembelewa na jiwe kipindi unaumwa ni mikosi
Hizi akili za vijana wa siku hizi mkuu ni shida msamehe bure tuYeye alimtembelea lini kama sio mwezi January kabla hajaenda kutibiwa nje? Siku zako zikifika hata kama baba yako ndio atakutembelea utakufa tu. Acha kuleta mawazo ya kijinga ya chadema hapa.
Ila ukitembelewa na jiwe kipindi unaumwa ni mikosi
mdananda ndio nini mkuu??Huyo mdananda certified hapo Dar.
Aisee,namkumbuka yule Babu mchoraji hakumaliza wikiiiIla ukitembelewa na jiwe kipindi unaumwa ni mikosi
Wewe ni mpumbavu kabisa,usiandike upuuzi kutafuta likes za kijingaIla ukitembelewa na jiwe kipindi unaumwa ni mikosi
Aliyekwambia kwamba bila Steve marehemu hatazikwa nani?Huyo Nyerere wanaombeza wote ni wale ambao misibani hawafiki au wakifika wanakuja kuuza sura.
Msiba sio jambo la kubeza na kumtukana mtu anaetoa hamasa mpaka marehemu akazikwa anavyostahili
Likikufika ndio utaona umuhimu wa msaada,
misiba au maradhi yanayohusisha wasanii wote ni mashahidi jinsi watu wanavyohahaAliyekwambia kwamba bila Steve marehemu hatazikwa nani?