Rais wa misiba Tanzania bara na Visiwani

Rais wa misiba Tanzania bara na Visiwani

Kama UKUWADI unampa mtu mpaka LAND CRUISER PRADO basi inabid tujiunge huko
 
Sijui lile liccm lililovaa hayo manguo ya kijani limefuata nini...
Kwani huo ni msiba wa chama?
Ingekuwa kuna mtu kavaa nguo za chadema sidhani kama hata angekuwa huru hadi leo...
 
Sijui lile liccm lililovaa hayo manguo ya kijani limefuata nini...
Kwani huo ni msiba wa chama?
Ingekuwa kuna mtu kavaa nguo za chadema sidhani kama hata angekuwa huru hadi leo...
Liachie lenyewe liko in Love na lichama letu mpendwa!
Damudamu walahi
 
leo kwenye msiba wa Sam wa Ukweli
c94800240b6e09602129459bffe25d22.jpg
 
Haa haa haa huyu jamaa katisha
Yan kasmama hapo kama mwongoza
Ibada
 
Nimemkabidhi rasmi Steve Nyerere cheo cha urais wa misiba Tanzania Bara na Visiwani kwani amethibitisha kwamba hana mpinzani. Ni bingwa wa kufariji wafiwa, kusimamia rambirambi, na kulia msibani, na kila mtu maarufu anayekufa ni ndugu yake na anamjua vizuri. Mungu aendelee kumpa maisha marefu ili watanzania tuzifaidi faraja zake.View attachment 797298
Kwani zile tuhuma kuhusu rambirambi ni za kweli??
 
Back
Top Bottom