Hizo hoteli zote zinamilikiwa na Jiwe ndio maana anazitafutia soko kwa njia hiiHata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.
Pumbavvv kabisa, nani kakwambia Chato ni kijijini? Chato kuba beach kali na hotel za 4 hadi 5 stars.
Tulia kila kitu kina mchakato na hatua sahihi kama mlipewa elimu bure afya bure itawezekanawewe mataga lini mnaanza kugawa bima afya bure kwa kila mtanzania?
Balaa mkuu, bunga ya wanayama, uvuvi, CRDB, uwanja wa ndege, hospitali ya kanda, VETA n.kSafari hii kila mtu ataijua Chato kinagaubaga daaadeki...kila siku vitu vinazinduliwa
Yule sio wa PSU humjui hata Ibuge ambaye anasimamia Protokali wizara ya Mambo ya Nje mkuu??? Sema zamani anghekua na suti tu nyeusi ila leo kavaa gwanda nimeshangaa
Asante mkuu, sikuwa nimemjua
Poa jamaa ni huyu hapa niliupdateSio Kitenge cha Vituo Maalum Kanali Ibuge anavaa gwanda za JW acheni kuchanganya mambo wakuu
Picha ya kwanza akiapishwa kama katibu mkuu Foreign Affairs & Chief of Protocol
Picha ya pili akiwa katika majukumu yake mengine mwaka 2019
Picha ya tatu leo kumpokea NyusiView attachment 1674661View attachment 1674662View attachment 1674663
Ahahahaaaa [emoji23][emoji1787][emoji85]. Mzalendo wa kweliHizo hoteli zote zinamilikiwa na Jiwe ndio maana anazitafutia soko kwa njia hii
Kabudi hakukurupuka, alimaanisha!Chato lazima iwe kama Ulaya.
Elimu bure ndiyo hii mnayowapokonya wananchi mbuzi na kuku wakishindwa kutoa pesa za kujenga madarasa??Tulia kila kitu kina mchakato na hatua sahihi kama mlipewa elimu bure afya bure itawezekana
Semenyaaaaaa wa UkaldayoHospitali ya rufaa Burigi Chato.
Unamanisha nini ?Afya ni Muhimu.
Amemsahau Lissu kila anapoongea utafikiri anagombana na mtu!Speaking style haijawahi kuwa sawa dunia nzima.
Niaje we mkolosai.Semenyaaaaaa wa Ukaldayo
Sio mwanasiasa huyoNamsikiliza hapa kwenye sherehe za ufunguzi wa Hospital ya Kanda ya Chato Waziri wa Afya, Mama Dorothy Gwajima!...
Magufuli amefanya ubinafsi upi?
Kuna sehemu/maeneo ambayo unahisi Magufuli hajayatendea haki au unatumia chuki za kisiasa?
Inabidi ajilipe overtime kufanya kazi za serikali akiwa likizo ......atasema sitaki kulipwa ni uzalendo ....au utasemajekumbe yupo likizo?
inamaana hao anaowapokea ni wageni binafsi?