fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Welcome presder Philipe Nyusi chatle city.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea umbea na uongo tu, hakuna mtu aliyepokonywa kitu, wananchi wazalendo kushirikiana na serikali kwenye matatizo madogo madogo hakujaanza leo. Hakuna mtoto anayelipa ada kwa sasa, na huko mbele hamutalipa kwa ajilibya afya. Mheshimiwa Magufuli amejitolea kuijenga hii nchi, kama sio mzalendo ufunge tu limdomo lako sio tu kumkatisha tamaa , utalifungua tukianza kula mema ya nchi yaliyojengwa na Mheshimiwa Magufuli.Elimu bure ndiyo hii mnayowapokonya wananchi mbuzi na kuku wakishindwa kutoa pesa za kujenga madarasa??
GarbageHata hivyo yeye anaishi nje ya mji kama ulivyosema ana allergy na maeneo ya mjini. Anaishi Chamwino.
Pumbavvv kabisa, nani kakwambia Chato ni kijijini? Chato kuba beach kali na hotel za 4 hadi 5 stars.
OkVip maendeleo ya hosptl ya Rufaa?
Itakuwa nyumba ya popo by nowVip maendeleo ya hosptl ya Rufaa?