Unaongea umbea na uongo tu, hakuna mtu aliyepokonywa kitu, wananchi wazalendo kushirikiana na serikali kwenye matatizo madogo madogo hakujaanza leo. Hakuna mtoto anayelipa ada kwa sasa, na huko mbele hamutalipa kwa ajilibya afya. Mheshimiwa Magufuli amejitolea kuijenga hii nchi, kama sio mzalendo ufunge tu limdomo lako sio tu kumkatisha tamaa , utalifungua tukianza kula mema ya nchi yaliyojengwa na Mheshimiwa Magufuli.