Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July.
Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa pia kuwa mgeni Rasmi na kufungua maonesho ya sabasaba. Lakini pia Rais huyo wa Msumbiji atashiriki katika usainiji wa mikataba mbalimbali katika nyanja za Elimu ,Afya n.k.
Tanzania na Msumbiji tumekuwa kama ndugu kutokana na historia yetu ya muda mrefu na ya kindugu ,iliyoasisiwa na kuanzishwa na viongozi wetu ambao wote kwa sasa wametangulia Mbele za haki ,yaani Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na Hayati Samora.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.