Wala sina sababu hiyo.hata hivyo ni ukweli kuwa pembe la ng'ombe halifichiki .matusi aliyokuwa ananitukana huyo bwana ni makubwa sana ambayo watu wengi sana walikuwa hawafurahishwi na tabia hiyo. Hata kwa sasa naamini hata maliza Mwezi mmoja kabla ya kufungiwa tena hata kwa mwaka mmoja hivi ili awe na adabu na kuacha lugha za kihuni huni na kivuta bangi .