Upendo wake wakuwatembelea ni zaidi ya pesa huo ndio utu!jamii ya magomeni wamenufaikaje katika ujio wake?
Huo ni utalii, ni sawa na wewe kwenda mbugani na kushangaa wanyama pori, je utaweza kusema, wanyama pori walifurahia ujio wako?Upendo wake wakuwatembelea ni zaidi ya pesa huo ndio utu!
Yaani binadamu unawaliganisha na wanyamapori? Are you serious??Huo ni utalii, ni sawa na wewe kwenda mbugani na kushangaa wanyama pori, je utaweza kusema, wanyama pori walifurahia ujio wako?
Ukienda kumtembelea mgonjwa hospitalini na kubaki kumtazama kama tv, bila kumpelekea matunda utaonekanaje?Yaani binadamu unawaliganisha na wanyamapori? Are you serious??
Siku hizi mnawaza kunufaika tu,zamani tukicheza mpira akapita mtu mzima na mzigo tulimbebea mzigo mpaka tulipoona inatoshajamii ya magomeni wamenufaikaje katika ujio wake?
Unafikiri ni kwa nini nyakati hizi imekuwa ni tofauti?Siku hizi mnawaza kunufaika tu,zamani tukicheza mpira akapita mtu mzima na mzigo tulimbebea mzigo mpaka tulipoona inatosha
Usiniulize maswali ya kijingaUnafikiri ni kwa nini nyakati hizi imekuwa ni tofauti?
Inakuwaje ni swali la kijinga?Usiniulize maswali ya kijinga
Kwani lazima umupelekee matunda? Unaweza kumpelekea vitu vingine vinavyomfaa.Ukienda kumtembelea mgonjwa hospitalini na kubaki kumtazama kama tv, bila kumpelekea matunda utaonekanaje?
Chukulia ata hivyo vinavyomfaa hakupelekewa zaidi ya kwenda kutazamwa tu kwa macho, hapo utasemaje?Kwani lazima umupelekee matunda? Unaweza kumpelekea vitu vingine vinavyomfaa.
Labda hakuwa na uwezo wakupata vitu hivyo.Chukulia ata hivyo vinavyomfaa hakupelekewa zaidi ya kwenda kutazamwa tu kwa macho, hapo utasemaje?
Rais wa Namibia Atembelea Majirani zake wa Zamani Magomeni
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, ametemebelea eneo la magomeni katika nyumba aliyowahi kuishi wakati wa harakati za ukombozi wa Namibia kupitia chama cha SWAPO.
Katika ziara hiyo ya kipekee iliyochanganya hisia za kumbukumbu na mshikamano wa kihistoria kati ya Tanzania na Namibia, Rais Nandi-Ndaitwah alipokelewa kwa furaha na majirani zake hao wa Magomeni, akiwemo mama Salehe na mtoto wa mama Salama ambao walimfahamu tangu alipokuwa akiishi eneo hilo akiwa mwakilishi wa harakati za ukombozi.
Akizungumza na wakazi hao, Rais huyo alitoa shukurani zake kwa Serikali na wananchi wa Tanzania kwa mchango wao mkubwa katika harakati za ukombozi wa Namibia, akisisitiza kuwa historia hiyo imejenga uhusiano imara na wa kudumu kati ya mataifa hayo mawili.
“Magomeni ni sehemu ya maisha yangu na historia ya taifa langu. Tanzania ilitupa hifadhi, upendo na nafasi ya kupig.
Kwa hiyo kuwabebea watu mizigo kumekufanya kuwa bingwa wa Matusi?Usiniulize maswali ya kijinga
Hapana Shukrani inatoshajamii ya magomeni wamenufaikaje katika ujio wake?
Hajaenda kuwanufaisha. Sio agenda yake.jamii ya magomeni wamenufaikaje katika ujio wake?