Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amempokea Rais wa Namibia Dkt. NETUMBO Nandi- Ndaitwah, leo tarehe 20/6/2026 ikulu Jijini Dar es salaam alipowasili kwaajili ya ziara yake ya kikazi ya siku tatu yenye lengo la kuimarisha na kujadili masuala mbalimbali ya Uhusiano na Ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.