wangekua nae bega kwa bega taarifa za ikulu zisingekua zinavujia twitter na instagramIngekua hivo basi JK asingeruhusu JPM kua Rais.
Lkn pia, JK asingepuuzwa na TISS.
KAMA KUNA RAIS ALIYEPEWA USHIRIKIANO NA TISS 100% WAKAWA NAYE BEGA KWA BEGA NI JPM.
Huyo anafanya maskhara na CCM....anaongea kama yuko ndotoni vile......
Lock down ya Uviko-19, haikuwa twende na Dunia. Je, alienda nayo?1)Makamu wa Rais
2)Kuhusu "Twende na dunia inavyotaka" umeelewa lipi la ajabu?!!!
Lini Tanzania ilikwenda kinyume na dunia inavyotaka ilihali tu wanachama wa UMOJA WA MATAIFA NA JUMUIYA YA MADOLA...
Una mfano upi wa Tanzania kupata kuishi "kuzimu"?!!!
Hivi huo usalama mnaouengelea humu ni wa namna gani, mbona beberu likiamua kumchomoa madarakani kiongozi wasiyemtaka huo usalama unaufyata?Bos usiongee kwa hisia .Ebu jiulize JPM alikua na nguvu gani CCM had kuwa Rais?Sasa huoni kwamba kulikua na nguvu nyuma ya pazia iliyomweka?Mfumo wa ulinzi na Usalama wa hii Nchi ni zaidi ujuavyo.Mwalimu Nyerere huyu Mzee hakuna wa kawaida kwa mambo aliyoyafanya.
Pia fahamu kuwa Rais wa Nchi yoyote yenye mfumo wa ulinzi na Usalama uliomadhubuti Huwa hatokei ghafula tu Huwa anaandaliwa na mfumo wa Usalama zeni mnaletewa tu kupiga kura .Hiyo ipo duniani kote kwa Nchi ambazo zipo vizuri kiulinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila humu ndani kuna ujinga mwingi sana,mtu kaleta Uzi unaofundisha matokeo yake mnambezaUsitutishe sasa nyoka wa kibisa wewe
Watu wengi humu ni wapumbavu Sana aiseeUsimlishe maneno. Hakuna alipoandika hivyo.
Uliloandika wewe ni umbea na ufitini. Hii ni tabia mbovu,ya kike na ya kipumbavu
Mimi sio CCM na Sijawahi kufikiria kuwa katika CCM. Ikitokea wameogopa kushindanisha Mawazo na Hoja katika kumpata mgombea na badala Yake kumwachia mama pekee nitachukua Kadi ya Uanachama na kisha kuchukua Fomu ili kuwafundisha kuwa Fikra za kuzawadiana Uongozi wa Nchi sio Fikra za Chama Bali genge la watu wanaotafuta kufanya Biashara na kutoa nyongo Zao dhidi ya Wanaume wanaowaona wamepata kuwa vikwazo katika maisha yao.Huyo anafanya maskhara na CCM....anaongea kama yuko ndotoni vile......
Tena zilivuja hata baada ya kifo chake japo walijitahidi kuficha lkn Maji yalivuja kwenye pakachawangekua nae bega kwa bega taarifa za ikulu zisingekua zinavujia twitter na instagram
Sawa....Mimi sio CCM na Sijawahi kufikiria kuwa katika CCM. Ikitokea wameogopa kushindanisha Mawazo na Hoja katika kumpata mgombea na badala Yake kumwachia mama pekee nitachukua Kadi ya Uanachama na kisha kuchukua Fomu ili kuwafundisha kuwa Fikra za kuzawadiana Uongozi wa Nchi sio Fikra za Chama Bali genge la watu wanaotafuta kufanya Biashara na kutoa nyongo Zao dhidi ya Wanaume wanaowaona wamepata kuwa vikwazo katika maisha yao.
Aisee umeweka mkwara mzito poti, lakini sie tupo na Mama.
#Mama 2025.
Mila za kufurahia kifo cha mwanachama mwenzako eti hali hiyo imempa fursa ambayo akiacha kuitumia Mungu atamdharau! Kumbe Watanzania walikuwa wanalia na kumtandikia JPM khanga Barabarani huku yeye akiwa anafyatua Picha kichwani jinsi atakavyokuwa sasa mwanamke wa kwanza kwa kuchaguliwa 2030.Sawa....
Basi kaa ukijua CCM ina mila zake....si lazima mila zake uzipende....na ndio maana sisi tuliozipenda HATULALAMIKI....vipi unamlazimisha muislam kuwa na mke mmoja tu?!!!!!Khaaa 😲😲😲
Unataka kusema mh.Rais SSH anawachukia wanaume?!!!!!Khaaa 😳😳😳😳
#SiempreJMT
Sio Mkwara bali Ni Ukweli mtupu. Chama sio yeye. Ni lini chama kimekaa na kumpitisha awe mgombea pekee? Yeye anadhani ana uwezo kuliko wenzake wote na kama sivyo anataka kugombea kwa sababu gani kama hawashindi wenzie? .Aisee umeweka mkwara mzito poti, lakini sie tupo na Mama.
#Mama 2025.
Kwakweli mtu anayefurahia kifo cha mwenzie basi amekosa ubinadamu lakini kila mtu ameandikiwa siku yake ya ahadi ambayo atarejea kwa muumba wake kutoa hesabu ya matendo yake.Mila za kufurahia kifo cha mwanachama mwenzako eti hali hiyo imempa fursa ambayo akiacha kuitumia Mungu atamdharau! Kumbe Watanzania walikuwa wanalia na kumtandikia JPM khanga Barabarani huku yeye akiwa anafyatua Picha kichwani jinsi atakavyokuwa sasa mwanamke wa kwanza kwa kuchaguliwa 2030.
Mbona umefura namna hiyo? Katiba yenyewe ilitambua kwamba kuna mauti na kama yakitokea nini kifanyike? Muacheni huyu Mama afanye kazi.S
Sio Mkwara bali Ni Ukweli mtupu. Chama sio yeye. Ni lini chama kimekaa na kumpitisha awe mgombea pekee? Yeye anadhani ana uwezo kuliko wenzake wote na kama sivyo anataka kugombea kwa sababu gani kama hawashindi wenzie? .
Kama kweli anaamini ana Uwezo atangaze na wenzie wachukue Fomu aone kama atapasua.
Mkuu wangu hebu shusha pumzi kwanza....Mila za kufurahia kifo cha mwanachama mwenzako eti hali hiyo imempa fursa ambayo akiacha kuitumia Mungu atamdharau! Kumbe Watanzania walikuwa wanalia na kumtandikia JPM khanga Barabarani huku yeye akiwa anafyatua Picha kichwani jinsi atakavyokuwa sasa mwanamke wa kwanza kwa kuchaguliwa 2030.
😍Mbona umefura namna hiyo? Katiba yenyewe ilitambua kwamba kuna mauti na kama yakitokea nini kifanyike? Muacheni huyu Mama afanye kazi.
#Mama 2025.
Kwa hiyo, Katiba ndio imesema 2030 nako arithi nafasi hiyo bila kushindana na wenzie kwenye Chama? Unaisingizia Katiba kuwa inatoa Uraisi kama Njugu zinavyoweza kugawiwa madhali Muombaji awe na meno ya kuzitafuna?Mbona umefura namna hiyo? Katiba yenyewe ilitambua kwamba kuna mauti na kama yakitokea nini kifanyike? Muacheni huyu Mama afanye kazi.
#Mama 2025.
Nisaidie wapi nilipo andika #2030 Mkuu, kamhemko kamekupata sasa.Kwa hiyo, Katiba ndio imesema 2030 nako arithi nafasi hiyo bila kushindana na wenzie kwenye Chama? Unaisingizia Katiba kuwa inatoa Uraisi kama Njugu zinavyoweza kugawiwa madhali Muombaji awe na meno ya kuzitafuna?
Sikiliza mkuu, anayejiamini havizii Weakness itokee. Kama yeye anaamini pamoja na uanawake anao uwezo wa kuwashinda wanaume au wanawake wenzie Ni kwa nini hakuwahi kugombea hiyo nafasi?Mkuu wangu hebu shusha pumzi kwanza....
Si mimi si mh.SSH alifurahishwa na kifo cha kipenzi chetu hayati JPM....mola alimpenda zaidi ,wewe ungeweza kuzuia asinyakuliwe mawinguni?!!!!
Maisha inabidi yaendelee.....
Ndio maana KATIBA ikatuchorea mchoro wa kipi cha kufuatwa ikitokea hali ile...je katiba nayo mbaya....ilimchukia JPM?!!!!
Unemtafsiri vibaya mh.Rais pale aliposema "fursa"....kwani uongo si fursa ya yeye kutokea umakamu na leo kuwa RAIS?!!!
Kwani angeweza kukataa na "kustep down" asingeheshimiwa msimamo wake.....yeye alikubali kuendana na katiba na kuibeba DHIMA ya URAIS WA JMT....je kutaka kuwa Rais wa kuchaguliwa na kuiweka historia kwa mwanamke wa kwanza kupigiwa kura za Urais ni kubaya?!!!
Bila ya kutokea kile kifo unadhani ingetuchukua miaka mingapi kwa mwanamke kushika/kuchaguliwa URAIS?!!!
Tatizo mjadala tunauendea KIHISIA zaidi ya UHALISIA....
,
Kwako mwenyekiti......