Teknocrat
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 4,967
- 11,056
😂 😂 😂 🤣🤣🤣🤣Punguzeni kuangalia movie sana!
1.Umejuaje hayo?Wewe ni mtu wa ndani?
-Kama siyo umejuaje?Nani kakuhadithia?
-Kama ndiyo,mbona umeandika shallow sana?Mtu wa ndani huwa anaandika facts zilizoshiba na sio blah blah za kuokoteza!
2.Eti usalama wanaunganisha nguvu na nchi jirani kufanya uchunguzi!Really?Yaani taifa lipate msiba wa Rais halafu muanze kualika vyombo vya nje kuja kushirikiana kuchunguza kifo?Ni kanuni ya nchi gani?Tz au nchi zote?
Nways,kwenye huu uzi naona umeandikwa kwa hisia zaidi!
Katengenezena supu ya malapulapu halafu kachanganya utumbo mnene ndani yake
Hapo supu imetokea ya kijani na kimanjano kwa mbali..🤣🤣🤣