Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Huu Uzi niliusomaga nikasema Kwa yanayoendelea tutaona mengi, Kuna andiko kwenye bible lasema ajidhaniaye amesimama ajiangalie asije anguka, maana naona makubwa yanakuja ya safisha safisha nyumba, waliojina mwamba Kuna miamba zaidi Yao.
 
Nepi atakuwa amechanganyikiwa ngoja tusubiri.
 
Vipi mkuu leo umefurahi kifo cha Membe!?
 
Ahsanteeeeeee na iwe hivyo.
Nimekupata vyediiii
 
Huu Uzi niliusomaga nikasema Kwa yanayoendelea tutaona mengi, Kuna andiko kwenye bible lasema ajidhaniaye amesimama ajiangalie asije anguka, maana naona makubwa yanakuja ya safisha safisha nyumba, waliojina mwamba Kuna miamba zaidi Yao.
Who is Membe nchi hii? Ingekua January au Mwigulu hapo sawa. Yaani Membe kufariki ni mission? Kwani alikua tishio kisiasa kwa sukuma gang?

Acheni kujitia moyo, JPM aliondoka akiwa madarakani no civilian death can equal such a downfall.
 
Mkuu mbona uliwahi tabiri kifo cha JPM ilikua 2019. Kivipi amekufa na wewe unalialia au sababu mfumo umekutupa nje? Mbaya zaidi ulisema kifo cha JPM ni Cha kujitakia mwenyewe na sio external force yoyote.

Kama wewe ni mtabiri consistency ni muhimu.... Huwezi sema JPM alijitakia kifo Leo Tena useme kilisababishwa na watu!!
 
Ama Kweli, kuondoka Kwa Magu na Giza kuchukua nafasi kutaipa Dunia kujua kwanini Magu alirudia mara nyingi sana kutuasa KUMTEGEMEA Mungu.
Mcha Mungu kivipi? Yaani kuongelea masuala ya Mungu hadharani ndio kuwa mcha Mungu?! Huwezi ukawa mcha Mungu huku unauwa watu.
 
Who is Membe nchi hii? Ingekua January au Mwigulu hapo sawa. Yaani Membe kufariki ni mission? Kwani alikua tishio kisiasa kwa sukuma gang?

Acheni kujitia moyo, JPM aliondoka akiwa madarakani no civilian death can equal such a downfall.
Ama kweli kumbe kila mtu huumia anapofiwa.Pole sana Mkuu.
 
Ama kweli kumbe kila mtu huumia anapofiwa.Pole sana Mkuu.
Acha kuni quote we mpuuzi, wapi Mimi nimewahi kuwa Team Membe. JPM ni CCM na Membe ni CCM Sasa pole ya Nini na nipo CHADEMA?

Mnalazimisha sana kwamba tumeumia kwani sisi ni CCM wenzake? Embicile
 
Eti ndo anatuaminisha ni phD holder huyu!!what the https://jamii.app/JFUserGuide???bongo wasomi na wasiosoma you really can't tell the difference!!HIJO DE PUTA A S S H O L E.
 
Ahsanteeeeeee na iwe hivyo.
Nimekupata vyediiii
Wazee wa Lindi wana jambo lao, sisi yetu macho.

Baada ya VAR ya wazee nini kinafuata? Tukae kitako kwa kutulia.
 
Attachments

  • IMG-20230513-WA0005.jpg
    74.6 KB · Views: 7
Watu kwa kuunganisha hadithi za uongo uongo hatujambo,TISS hii ninayoijua Mimi ambao hata mafuta kwenye magari ni tatizo ndio wafanye uchunguzi wa MTU aliyekufa.
 
Ukimtoa Kikwete na Lowassa hamn MTU hapa Tanzania anaweza itikisa CCM hakuna.
Hao akina member,mwigulu,January yote ni makapi tu ya kusubiri huruma ya kwenye mamlaka.
 
This is TumainiEl I know in jf!!
 
Who is Membe nchi hii? Ingekua January au Mwigulu hapo sawa. Yaani Membe kufariki ni mission? Kwani alikua tishio kisiasa kwa sukuma gang?

Acheni kujitia moyo, JPM aliondoka akiwa madarakani no civilian death can equal such a downfall.
Yani unamlinganisha membe na hao vijana wepesi ka unyoya January na mwigulu hauko serious na maisha yako mr. Zitto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…