Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Huu Uzi niliusomaga nikasema Kwa yanayoendelea tutaona mengi, Kuna andiko kwenye bible lasema ajidhaniaye amesimama ajiangalie asije anguka, maana naona makubwa yanakuja ya safisha safisha nyumba, waliojina mwamba Kuna miamba zaidi Yao.
 
Next ni yule alie Dhani JPM kufa ndio kufaana... Hao kwa hakika hawatauwona ufalme wa Tz. Naona wapo watu wanaona kama kesho kufika muujiza. Ila kila mwenye masikio alisikie neno hili la Utabiri yakuwa kila atakae kuiponya nafsi yake asirudi nyuma kuchukua kile amesahau maana kila walipo Tai patakuwa na mzoga na kila mzoga utasababishwa na kurudi nyuma. Tuseme nn basi sis tulio watoto na wanyonge wa Taifa hili ila 🤐🤐🤐😭😭😭🤐🤐🤐 Nakuisubiri siku ile ambayo wale wasio na macho hawakuiona jambo limekuwa Giza na mateso makubwa juu yao na mioyo yao wanatamani kutubu hawawezi tena wanatamani kuyameza maneno yalikwisha watoka hawawezi kuyameza maana yalikwisha watoka... 🤐🤐👍😭😭📜📜
Nepi atakuwa amechanganyikiwa ngoja tusubiri.
 
Watanzania tulio wengi tumefurahishwa na kifo cha Dikteta uchwara.

Na bado tupo kwenye shangwe na kila tarehe 17 march tutakuwa tunakesha bar kufurahia na kutowa sadaka ya shukrani kwa Mungu kwa kutuondolea huyu kichaa dhalimu bila machafuko wala umwagaji damu, maana kwingineko duniani kuwang'owa madikteta huwa kunaambana na umwagaji damu za watu wasio na hatia.

Kwa matendo haya ya huruma ya Mungu tunapaswa kutowa sadaka ya shukrani kila tarehe 17 March.
Vipi mkuu leo umefurahi kifo cha Membe!?
 
Next ni yule alie Dhani JPM kufa ndio kufaana... Hao kwa hakika hawatauwona ufalme wa Tz. Naona wapo watu wanaona kama kesho kufika muujiza. Ila kila mwenye masikio alisikie neno hili la Utabiri yakuwa kila atakae kuiponya nafsi yake asirudi nyuma kuchukua kile amesahau maana kila walipo Tai patakuwa na mzoga na kila mzoga utasababishwa na kurudi nyuma. Tuseme nn basi sis tulio watoto na wanyonge wa Taifa hili ila [emoji850][emoji850][emoji850][emoji24][emoji24][emoji24][emoji850][emoji850][emoji850] Nakuisubiri siku ile ambayo wale wasio na macho hawakuiona jambo limekuwa Giza na mateso makubwa juu yao na mioyo yao wanatamani kutubu hawawezi tena wanatamani kuyameza maneno yalikwisha watoka hawawezi kuyameza maana yalikwisha watoka... [emoji850][emoji850][emoji106][emoji24][emoji24][emoji411][emoji411]
Ahsanteeeeeee na iwe hivyo.
Nimekupata vyediiii
 
Huu Uzi niliusomaga nikasema Kwa yanayoendelea tutaona mengi, Kuna andiko kwenye bible lasema ajidhaniaye amesimama ajiangalie asije anguka, maana naona makubwa yanakuja ya safisha safisha nyumba, waliojina mwamba Kuna miamba zaidi Yao.
Who is Membe nchi hii? Ingekua January au Mwigulu hapo sawa. Yaani Membe kufariki ni mission? Kwani alikua tishio kisiasa kwa sukuma gang?

Acheni kujitia moyo, JPM aliondoka akiwa madarakani no civilian death can equal such a downfall.
 
Next ni yule alie Dhani JPM kufa ndio kufaana... Hao kwa hakika hawatauwona ufalme wa Tz. Naona wapo watu wanaona kama kesho kufika muujiza. Ila kila mwenye masikio alisikie neno hili la Utabiri yakuwa kila atakae kuiponya nafsi yake asirudi nyuma kuchukua kile amesahau maana kila walipo Tai patakuwa na mzoga na kila mzoga utasababishwa na kurudi nyuma. Tuseme nn basi sis tulio watoto na wanyonge wa Taifa hili ila 🤐🤐🤐😭😭😭🤐🤐🤐 Nakuisubiri siku ile ambayo wale wasio na macho hawakuiona jambo limekuwa Giza na mateso makubwa juu yao na mioyo yao wanatamani kutubu hawawezi tena wanatamani kuyameza maneno yalikwisha watoka hawawezi kuyameza maana yalikwisha watoka... 🤐🤐👍😭😭📜📜
Mkuu mbona uliwahi tabiri kifo cha JPM ilikua 2019. Kivipi amekufa na wewe unalialia au sababu mfumo umekutupa nje? Mbaya zaidi ulisema kifo cha JPM ni Cha kujitakia mwenyewe na sio external force yoyote.

Kama wewe ni mtabiri consistency ni muhimu.... Huwezi sema JPM alijitakia kifo Leo Tena useme kilisababishwa na watu!!
 
Ama Kweli, kuondoka Kwa Magu na Giza kuchukua nafasi kutaipa Dunia kujua kwanini Magu alirudia mara nyingi sana kutuasa KUMTEGEMEA Mungu.
Mcha Mungu kivipi? Yaani kuongelea masuala ya Mungu hadharani ndio kuwa mcha Mungu?! Huwezi ukawa mcha Mungu huku unauwa watu.
 
Who is Membe nchi hii? Ingekua January au Mwigulu hapo sawa. Yaani Membe kufariki ni mission? Kwani alikua tishio kisiasa kwa sukuma gang?

Acheni kujitia moyo, JPM aliondoka akiwa madarakani no civilian death can equal such a downfall.
Ama kweli kumbe kila mtu huumia anapofiwa.Pole sana Mkuu.
 
Acha kuni quote we mpuuzi, wapi Mimi nimewahi kuwa Team Membe. JPM ni CCM na Membe ni CCM Sasa pole ya Nini na nipo CHADEMA?

Mnalazimisha sana kwamba tumeumia kwani sisi ni CCM wenzake? Embicile
 
Watanzania tulio wengi tumefurahishwa na kifo cha Dikteta uchwara.

Na bado tupo kwenye shangwe na kila tarehe 17 march tutakuwa tunakesha bar kufurahia na kutowa sadaka ya shukrani kwa Mungu kwa kutuondolea huyu kichaa dhalimu bila machafuko wala umwagaji damu, maana kwingineko duniani kuwang'owa madikteta huwa kunaambana na umwagaji damu za watu wasio na hatia.

Kwa matendo haya ya huruma ya Mungu tunapaswa kutowa sadaka ya shukrani kila tarehe 17 March.
Eti ndo anatuaminisha ni phD holder huyu!!what the https://jamii.app/JFUserGuide???bongo wasomi na wasiosoma you really can't tell the difference!!HIJO DE PUTA A S S H O L E.
 
Ahsanteeeeeee na iwe hivyo.
Nimekupata vyediiii
Wazee wa Lindi wana jambo lao, sisi yetu macho.

Baada ya VAR ya wazee nini kinafuata? Tukae kitako kwa kutulia.
 
Attachments

  • IMG-20230513-WA0005.jpg
    IMG-20230513-WA0005.jpg
    74.6 KB · Views: 7
Watu kwa kuunganisha hadithi za uongo uongo hatujambo,TISS hii ninayoijua Mimi ambao hata mafuta kwenye magari ni tatizo ndio wafanye uchunguzi wa MTU aliyekufa.
 
Ukimtoa Kikwete na Lowassa hamn MTU hapa Tanzania anaweza itikisa CCM hakuna.
Hao akina member,mwigulu,January yote ni makapi tu ya kusubiri huruma ya kwenye mamlaka.
 
Next ni yule alie Dhani JPM kufa ndio kufaana... Hao kwa hakika hawatauwona ufalme wa Tz. Naona wapo watu wanaona kama kesho kufika muujiza. Ila kila mwenye masikio alisikie neno hili la Utabiri yakuwa kila atakae kuiponya nafsi yake asirudi nyuma kuchukua kile amesahau maana kila walipo Tai patakuwa na mzoga na kila mzoga utasababishwa na kurudi nyuma. Tuseme nn basi sis tulio watoto na wanyonge wa Taifa hili ila 🤐🤐🤐😭😭😭🤐🤐🤐 Nakuisubiri siku ile ambayo wale wasio na macho hawakuiona jambo limekuwa Giza na mateso makubwa juu yao na mioyo yao wanatamani kutubu hawawezi tena wanatamani kuyameza maneno yalikwisha watoka hawawezi kuyameza maana yalikwisha watoka... 🤐🤐👍😭😭📜📜
This is TumainiEl I know in jf!!
 
Who is Membe nchi hii? Ingekua January au Mwigulu hapo sawa. Yaani Membe kufariki ni mission? Kwani alikua tishio kisiasa kwa sukuma gang?

Acheni kujitia moyo, JPM aliondoka akiwa madarakani no civilian death can equal such a downfall.
Yani unamlinganisha membe na hao vijana wepesi ka unyoya January na mwigulu hauko serious na maisha yako mr. Zitto
 
Back
Top Bottom