Well mimi sio mtu wa idara na pia sio movie sio .penz wa mapicha ila napenda kujuwa kile kinaendelea duniani. Naomba kasome report ya kifo cha JF wa marekani, report ya kifo cha Isack Rabin na mwisho nokifumbue macho. Kama hujuwi basi ujuwe leo usiwe mshamba.
Wamarekani rafiki yao mkubwa ni Israel na UK hawa idara zao zina saidiana sana sana. Even kwenye matukio makubwa hawa wanasaidiana.
Tanzania tuna nchi tunasaidiana sana kwenye idara mfano kwa africa SA ni watu wetu, Hapo Mozambique ni watu wetu, zambia watu wetu Uganda watu wetu, Kenya ni marafiki zetu walisaidia sana vita ya uganda pia Kenya ni central or heaven of high profile intelligence unity usiniulize why... Zimbabwe wanatuheshim sana hapo Ethiopia, sudan kusin, Kongo kama ulikuwa hujuwi Tz is among the best intelligence agency in the world but is under ground. Nikianza kukupa madini utaniogopa nenda kakojowe kalale kama unafikiri taifa hili kuna vilaza basi pole.