Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Hizo ni fikra zetu tu. Kaandika indirect au nini zinabaki kuwa fikra tu.

Mleta mada hajaandika chochote kuhusu Mama Samia

Tangu Mama aapishwe kuwa Rais wa Jamhuri umekuwa mstari wa mbele sana kumtetea hata pale ambao hukosea? Nilikuwa nakuheshimu sana ila baada ya kugundua wewe ni mbinafsi na mdini nimekupuuza na hii ni kwa sababu wewe unatokea zanzibar.
 

Mkuu

Kwa kenya hapo umenena

Mipango ya kumnyamazisha shujaa ilisukwa hapo

Nakala ikaibwa mpaka kwa shujaaa

.............
 
Unazijua powers za Taasisi ya yraisi wewe?
Usilinganishe TISS na vyombo huru kama Mossad, CIA na MI16

TISS iko chini ya ofisi ya Rais!
Mossad ipo chini ya Waziri mkuu wa Israel. Na waziri aliuwawa unknown.. hiyo idara nyingine kabisa tena iyogope sana wala sijataka izungumzia ktk mada yangu
Eti anasema kwa sasa kuna timu ambayo hata Samia haijui inashirikiana na nchi marafiki kuchunguza kifo cha JPM!
Acha kusema jambo halipo soma vizuri uzi acha uchawi wewe... Kwani lazima comment
 
Mkuu

Kwa kenya hapo umenena

Mipango ya kumnyamazisha shujaa ilisukwa hapo

Nakala ikaibwa mpaka kwa shujaaa

.............
Ujasusi wa kidola wenzetu wametuacha sana wako organized sana.
 
1. Sio Isack Rabin,.. ni Yitzhak Rabin.

2. Sio KJB,.. ni KGB!

3. Uzi utopolo!
 
Ulipofananisha MOSSAD na utopolo wa UVCCM waliojaa hapo St.Peter's nimekudharau sana.

Usirudie tena kufananisha MOSSAD na UVCCM.
Hulijuwi Taifa kama mimi kaa kimya kama mimi.
 
Ubora wa idara ya nchii hii ni kuhakikisha chama chakavu na si vinginevyo
 
Nilivyo soma uzi juu gafra bila kufungua nilishtuka nikajua labda Bibi yangu naye kaondoka ....kumbe wapi.
 
Not applicable in Tz. Usalama wa taifa nao wapo kama watumishi wa umma wengine, wanaweza kubemendwa na wanasiasa wakati wowote.
 
Ndugu haya mambo ni kweli yanawezekana ila cyo kwa nchi Kama hii

Hyo Mambo Ni kwa highly systematized countries ambazo mifumo yake ni imara na hai ingiliwi na power ya mwananchi namba mara nyingi hata mifumo yao ya Usalama iko independent kwa ajili ya ustawi wa taifa. Sio unafananisha na nchi ambayo kwnz unaingizwa kwny kwa interest ya mtu/watu fulani na unafanya kazi kwa matakwa yao unachekesha tu

Muwe mnaangalia basi na profile ya nchi za kuwa na mifumo hyo sio mnaongea ongea tu
 
Wewe si ndio uliyemtishia Ben saanane wiki moja kabla hajapotezwa?

Naweza kusema wewe ni mmoja wa vijana wa Magufuli waliokuwa wanatekeleza mauaji kwa waliokataa kumwabudu.

Acha kuongea ujinga ujinga muuaji mkubwa wewe
 
Asante mkuu.Elimu na taadhari maridhawa kwa viongizi wetu.
 
Ingekua hivo basi JK asingeruhusu JPM kua Rais.


Lkn pia, JK asingepuuzwa na TISS.


KAMA KUNA RAIS ALIYEPEWA USHIRIKIANO NA TISS 100% WAKAWA NAYE BEGA KWA BEGA NI JPM.
Hawakuwa nae bega kwa bega kwa kupenda bali aliwakokota.

Taasisi ya urais kwa Tanzania ni kitu kingine kabisa
 
Unaweza kuanhalia USIONE, unaweza sikia USIELEWE, mimi nimemuelewa mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…