Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Naona kwa maoni yangu tupo kwenye mkwamo kuliko kipindi chochote toka tupate Uhuru.
Rais ukiingia madarakani na ukawa na makundi ya Matajiri na watu wenye maslahi yao madarakani ujue hauwezi kuongoza taifa.
Nyerere hakuwa na makundi ndio maana mpaka anaondoka ikulu hakuwai kuiba hata sent ya Nchi hii.
Ukiona Rais yeyote anakuwa na makundi ya kiutawala mwogope Kama ukoma.
Magufuli hakuwa na makundi ya Matajiri hii ilimsaidia kiasi kutoa maagizo na yakafanyiwa kazi haraka.
Ingawa alikuwa na makundi ya wasiojulikana ila haiondoi ukweli kwamba alikuwa mzalendo kiasi.
Ukiona Rais ukiingia unaingia madarakani halafu unatoa maagizo hayafanyiwi kazi jua kuwa una makundi ambayo yameweka mfukoni serikali yako.
Natoa tu angalizo kueleekea 2025 tunahitaji Rais ambaye Hana makundi ya mfumo ya kifisadi na wasio hongeka Kama walivyo.
1 Tundu Lissu
2: Anthony Mtaka
3: John Myika
Kazi kwenu watu mnaofanya vetting na kutaka kuindoa Nchi kwenye mkwamo wa wezi na mafisadi ya taifa hili.