Rais wa Nchi hutakiwi kuwa na makundi

Imagine now kila kitu kinapanda tu Bei

Halafu Rais anatangaza Nia ya kugombea 2025.
 
Katiba pia Ina fahamu kuwa Tanzania ni nchi ya vyama vingi lakini chama kinachoruhusiwa kufanya mikutano na wananchi pia wafusi wake ni kimoja tu. Kuielewa katiba na kuitekeleza kunahitaji elimu ya ziada Tanzania.
 
Anatengeneza matabaka ya kijinsia.
Huyu mama yenu me kiukweli simuelewi hata, wa kupigwa chini mapema.
 
Kwani nini kinaendelea maana me nipo huku mwisho wa Tanzania ambako ukinunua juisi unaambiwa chupa urudishe yaani hatujui hata hii nchi inakwenda wapi
 
Hakika jamaa alikuwa na nepotism kiwango Cha juu sana, imagine Baraza lote la mawaziri, makatibu wakuu, makamu wa Rais, wakurugenzi wa mashirikka na halmashauri zote, wakuu wa mikoa na wilaya, wajumbe wa bodi mbalimbali, nk wote Kama hawakutoka Kanda ya ziwa Basi walikuwa wasukuma kutoka Chato ,,,, miradi yote ya maendeleo ilifanyikia Chato mpaka makao makuu ya nchi na ikulu ilihamia Chato.
 
Ahasnte mkuu kwa kunijuza hilo itabidi niwaeleze Hawa wananjilinji wenzangu ili wajue tunaenda wapi
 
Ndugu hakuna rais asiye na makundi , kuanzia ktk ngazi za uteuzi ktk chama chake kunakuwa na kambi ...nikupe mfano. Hayati magufuli aliwah kulalamikia kuhujumiwa na baadhi ya wanachama wenzake ktk zile kampeni za 2015 ..
Sasa usishangaae sanaa kuwa na makundi ni kawaida ktk maisha yetu
 
Mtandao ni kundi baya sanaaaaaaa
 
Ninadhani nia yake ilikua kutuma ujumbe kwa wale wanaoamini kuwa sehemu ya mwanamke ni jikoni. Ujumbe ni kuwa yeye ni Rais na ataendelea kuwa Rais.
Wapi ilisemwa kuwa yeye ni mtu wa jikoni labda tukumbushe ?!
 
Haya maneno aliyasema Nyerere mapema sana. Kuwa watu dhaifu wakipewa uongozi tazama kauli zao utaona zina elements za ubaguzi fulani ili tu wajinasibishe kuwa wao ni bora katika jamii.
 
MUNGU akipenda samia ni raisi hadi 2025 halafu akipitishwa kazi inaendelea ili walalamikaji na wazalendo uchwara waendelee na kazi za malalamiko na matusi.
 
Kwa kusummarize hii inatosha kusema yafuatayo: Inaonekana ama haielewi ama haikubali katiba aliyohapa kuilinda, ana uwezo mdogo sana wa kuongea kimantiki, hajiamini na haelewi vizuri ni nini nafasi ya raisi ktk taifa changa kama Tz.
 
Umemsahau Maria Sarungi
 
Hapo TUMEPIGWAAAAAAAA.
 
chuki itakuua kijana....

Wivu wa nini, Tanzania ni yetu sote hata chato ni Tanzania Kama ilivyo Arusha, mwanza au dar.

Unaweza kuja kununua kiwanja chato ukajenga na maisha yakaendelea Kama ilivyo sehemu nyingine nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…