Tetesi: Rais wa nchi ile hana nia ya dhati ya kuthibiti corona. "USHAHIDI" anatamani na anapanga makusudi maafa yatokee nchini mwake

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,642
Huku dunia nzima tukiwa na hali ya taadhari na mipango mbali mbali kupambana na janga hili la virus vya corona kuna nchi moja ya mbali huko kiongozi wa taifa hilo anaonekana na wengi kua hajali ila kwangu mimi namuona kwa jicho tofauti nikitazama ushahidi wa hulka zake.

Wakati mchi zotewanaamasisha kuepuka misongamano, katika nchi hyo wala hawajali kitu huku afisa fulani wa serikali anaeshutumiwa kua alipata 0 darasani akikusanya watu kila siKu kuongea "yasiyo ya msingi"

Nchi hyo ambayo tayari imeripotiwa kuwa na wagonjwa kadhaa wa corona, raisi wao anaamasisha watu waendelee kwenda kanisani na misikitini ili hali mikusanyiko inatambulika kua hatarh.. (anatamani na anapanga kwa makusudi watu wake waambukizwe usiulize kwanini, relax nitajibu swali hili punde)

Wakati dunia nzima ikishuhudia marais wa mataifa mbali mbali wakitoa rai kila mara kukumbusha, kutoa mikakati na kusisitiza wanainchi wao, raisi wa nchi hiyo yeye anaonekana akiwa anafanya utalii wa miamba huku akionekana kunywa coffee "mitaani" makusudi akiaminisha watu hakuna hatari.

Kwanini rais huyu anapanga maafa yatokee ?!
Kulijibu hili tuweke wazi mambo kadhaa, kwanza yeye na familia yake ni dhairi hawata athirika na janga hili na hata ikitokea mtu wa familia yake akapata tatizo hili, atahududiwa na ICU chache zitawekwa "reserve" kwa ajili yao. (UBINAFSI) Na kiongozi huyu ni mbinafsi kweli kweli mithili ya kina Mobotu huku akijijengea empire na uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa ukigharimu mabilioni ya shiling kijijini kwao ambako hakuna raia mwenye uwezo wa kupanda ndege.

Ubadhilifu. Rais huyu anapanga maafa haya huku akijua wazi kua endapo maafa yatakua makubwa nchini mwake na kwingine kuthibitiwa atapewa "misaada" na hapo ndo kwenye utamu.

Raisi huyu alishashuhudiwa akikwapua mabilioni ya fedha zilizochangwa na misaada kutoka mataifa mbali mbali kwa ajili ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoa fulani nchini mwake na rais huyu akakwapua fedha yote bila kutoa msaada wowote kwa wahanga huku akisema "serikali haikukaeta tetemeko" ila mimi nikashangaa serikali kuchukua fedha za misaada ya wahanga, haikuleta tetemeko ila misaada inakwapua.

Kwa wakati mwingine ilitokea ajali mbaya ya basi la wanafunzi katika mkoa fulani nchini humo maarufu sana kwa kilimo cha bangi, michango toka kila kona ya dunia ilikusanywa kisha kama kawaida kukwapuliwa na serikali.

Sababu nyingine kwa serikali hyo kupalia kuni janga hili ni kupata sababu ya kuendelea kusalia madarakani. Serikali hyo ambayo imekua ya kifisadi na kidikteta imepoteza mvuto kwa wananchi huku ikidaiwa kutekeleza uteji wa wakosoaji.

Ni dhairi serikali hyo inaogopa uchaguzi wa huru na haki ambao uko karibuni na sasa kichaka cha corona virus ni maridhawa kujificha humo kama janga litakua kubwa kama wanavyopanga hvyo kusalia madarakani kwa kuairisha uchaguzi.

Ni dhairi serikali ya nchi hyo ya mbali inatamani na inapanga kutumia janga la corona kujikwapulia tena fedha za misaada pale hali itakapokua tete kuliko kote duniani (kama wanavyopanga) na misaa kushuka.
 
Sasa mimi nikiwa kama huyo laisi wa mbali nakwambia hivi:-
Corona sio gonjwa kubwa kama unavyolichukulia.

Yaani kwenye watu 200
wanaokufa 8
Wanaopona 150
wanaokuwa mahututi 42.
Cha mtoto.
Narudia tena Cha mtoto.

Tena kwenye hao 8
Wazee 6
Vijana lakini waliokuwa na matatizo yao hapo kabla 2.

Na nakwambia hivi kwenye hii nchi yangu yambali corona ni cha mtoto tuu.
 
Yani uwe raisi hata kuandika hujui ndo utaweza kua na mikakati. Sio "laisi" ni "raisi" rudi shule mkuu hata ubalozi wa nyumba kumi hauwezi.
 
Serikali hyo ambayo imekua ya kifisadi na kidikteta imepoteza mvuto kwa wananchi huku ikidaiwa kutekeleza uteji wa wakosoaji.

Hii Covid_19 ni mtaji wa kisiasa kwa chama tawala cha nchini humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe unayejua kuandika vizuri mbona unashona viatu.

Alafu nikwambie vile viatu vya kajanja wangu umeyumba.

Yaani unashona viatu uzi unapita nje tena chini ya kiatu nani kakwambia viatu vanashonwa vile. (nimeongea kikubwa)
 
Na je hao wazee 6 kwa magonjwa 200 kufa unaona sawa ?! Je tukiwa na wagonjwa 12 million watakufa wazee wangapi ? Kwel' wewe ni "laisi"
 
Serikali hyo ambayo imekua ya kifisadi na kidikteta imepoteza mvuto kwa wananchi huku ikidaiwa kutekeleza uteji wa wakosoaji.

Ni dhairi serikali hyo inaogopa uchaguzi wa huru na haki ambao uko karibuni na sasa kichaka cha corona virus ni maridhawa kujificha humo kama janga litakua kubwa kama wanavyopanga hvyo kusalia madarakani kwa kuairisha uchaguzi.

Hii Covid_19 ni mtaji wa kisiasa kwa chama tawala cha nchini humo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu
 
Yani uwe raisi hata kuandika hujui ndo utaweza kua na mikakati. Sio "laisi" ni "raisi" rudi shule mkuu hata ubalozi wa nyumba kumi hauwezi.

Hahahaaaa, ama kweli nyani haoni kundule..
Hebu rudia kusoma original thread uone matapishi yako huko nawee..
Halafuuu, hivi inakuingia akilini kweli hata wewe? Huko katika nchi zilizojifungia ndani kila siku wanakufa mamia ya watu na wanaambukizana maelfu elfu lakini katika nchi “ile” ya Rais “yule” unayemsema watu wake wanapuyanga tu mitaani na maambukizi ni machache, hivi hiyo hali haikufikirishi wewe? Hujiulizi hata kidogo kulikoni???
Sio kila wakati ni wa kutumia akili za kisayansi, mambo mengine yamefungwa kiroho. Kalaghabaoo [emoji1321]‍♂️[emoji1321]‍♂️[emoji53][emoji53]
 
Sasa wewe unayejua kuandika vizuri mbona unashona viatu.

Alafu nikwambie vile viatu vya kajanja wangu umeyumba.

Yaani unashona viatu uzi unapita nje tena chini ya kiatu nani kakwambia viatu vanashonwa vile. (nimeongea kikubwa)
Nimemuajiri babako, nimetomasa mamako, nimempaka utelezi dada yako bado wewe nawaza nikufanyeje, mimi sio mshona viatu kijana.
 
Sasa mimi nikiwa kama huyo laisi wa mbali nakwambia hivi:-
Corona sio gonjwa kubwa kama unavyolichukulia.

Yaani kwenye watu 200
wanaokufa 8
Wanaopona 150
wanaokuwa mahututi 42.
Cha mtoto.
Narudia tena Cha mtoto.

Tena kwenye hao 8
Wazee 6
Vijana lakini waliokuwa na matatizo yao hapo kabla 2.

Na nakwambia hivi kwenye hii nchi yangu yambali corona ni cha mtoto tuu.
Vipi tukikuweka uwe mmoja wao wanaokufa?

Utasema Corona sio gonjwa kubwa?

Halafu hatujajua litalavyoua Afrika, kwa sababu halijaenea.

Unataka kupima ukali wa kisu kwa kulama makali?

Unataka kupima ubora wa nyumba kwa kuiachia iungue moto usiouelewa?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wale watu wawili waliongundulika kuwa na corona kule Zanzibar inasemekana walitokea Tanzania Bara Jee hao watu wanahistoria ya kusafiri kwenda kwenye nchi zenye maambukizi mengi ya corona au waliambukizwa wakiwa Tanzania Bara?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi tukikuweka uwe mmoja wao wanaokufa?

Utasema Corona sio gonjwa kubwa?

Halafu hatujajua litalavyoua Afrika, kwa sababu halijaenea.

Unataka kupima ukali wa kisu kwa kulama makali?

Unataka kupima ubora wa nyumba kwa kuiachia iungue moto usiouelewa?

Sent from my typewriter using Tapatalk
Umeandika vizuri sana. Na umeuliza vizuri pia.

Ngoja nikupe majibu kiuchache.

Corona kwangu kama raisi wa nchi ya mbali ni kama sheria hakimu mtuhumiwa na mahakama.

Yaani kama hauna kosa hauwezi kufungwa wala kupigwa faini utaachiwa na kuwa huru.

Sheria kwenye corona ni kama "umri je uko chini ya miaka 50 kama hapana yaani 61 na kuendelea kwa corona ni kosa na wastahili kufa.

Yaani leo hii Kiranga una miaka 60 ni sawa na umezaliwa 1960 alafu kweli unataka kuendelea kuishi kweli?

Kwanini usife unaunda nini zaidi ya mzigo tu kwa wanao na wajukuu zako.
Kwanza hauzai pili haufanyi kazi ngumu tatu wee kulala na kuvuta ugolo kwanini usife?

Mahakama kwa Corona ndiye corona mwenyewe yaani kufika mahakamani haina maana kuwa wewe ni mwenye kosa moja kwa moja.

Kukupata corona sio ndio mwisho wa maisha yako Kiranga bado una nafasi ya kuishi pia.

Na hakimu kwa corona ni #TIME yaani muda.

Acha muda ufanye yake acha kupiga kelele msikilize muda/saa bado kuna siku itafika vyote hivi vitaandikwa kwenye historia kwamba kuna mwaka ilitokea corona.

na hapa rahisi mwenzangu wa nchi ya Tanzania anasimamia kuwa ((MUDA UNAONGEA.))

UACHE MUDA UHUKUMU
 
Umeandika kama mtu ambaye yuko mwezi mmoja nyuma katika kufuatilia habari.

Habari zako zimepitwa na wakati kwa angalau mwezi mmoja.

Kwanza, Covid-19 haichagui wa kuua kwa umri.

Kuna watu wengi tu vijana imewaua, kuna watu wengi tu wazee wame survive.

Unaelewa hilo?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Huku dunia nzima tukiwa na hali ya taadhari na mipango mbali mbali kupambana na janga hili la virus vya corona kuna nchi moja ya mbali huko kiongozi wa taifa hilo anaonekana na wengi kua hajali ila kwangu mimi namuona kwa jicho tofauti nikitazama ushahidi wa hulka zake.

Wakati mchi zotewanaamasisha kuepuka misongamano, katika nchi hyo wala hawajali kitu huku afisa fulani wa serikali anaeshutumiwa kua alipata 0 darasani akikusanya watu kila siKu kuongea "yasiyo ya msingi"

Nchi hyo ambayo tayari imeripotiwa kuwa na wagonjwa kadhaa wa corona, raisi wao anaamasisha watu waendelee kwenda kanisani na misikitini ili hali mikusanyiko inatambulika kua hatarh.. (anatamani na anapanga kwa makusudi watu wake waambukizwe usiulize kwanini, relax nitajibu swali hili punde)

Wakati dunia nzima ikishuhudia marais wa mataifa mbali mbali wakitoa rai kila mara kukumbusha, kutoa mikakati na kusisitiza wanainchi wao, raisi wa nchi hiyo yeye anaonekana akiwa anafanya utalii wa miamba huku akionekana kunywa coffee "mitaani" makusudi akiaminisha watu hakuna hatari.

Kwanini rais huyu anapanga maafa yatokee ?!
Kulijibu hili tuweke wazi mambo kadhaa, kwanza yeye na familia yake ni dhairi hawata athirika na janga hili na hata ikitokea mtu wa familia yake akapata tatizo hili, atahududiwa na ICU chache zitawekwa "reserve" kwa ajili yao. (UBINAFSI) Na kiongozi huyu ni mbinafsi kweli kweli mithili ya kina Mobotu huku akijijengea empire na uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa ukigharimu mabilioni ya shiling kijijini kwao ambako hakuna raia mwenye uwezo wa kupanda ndege.

Ubadhilifu. Rais huyu anapanga maafa haya huku akijua wazi kua endapo maafa yatakua makubwa nchini mwake na kwingine kuthibitiwa atapewa "misaada" na hapo ndo kwenye utamu.

Raisi huyu alishashuhudiwa akikwapua mabilioni ya fedha zilizochangwa na misaada kutoka mataifa mbali mbali kwa ajili ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoa fulani nchini mwake na rais huyu akakwapua fedha yote bila kutoa msaada wowote kwa wahanga huku akisema "serikali haikukaeta tetemeko" ila mimi nikashangaa serikali kuchukua fedha za misaada ya wahanga, haikuleta tetemeko ila misaada inakwapua.

Kwa wakati mwingine ilitokea ajali mbaya ya basi la wanafunzi katika mkoa fulani nchini humo maarufu sana kwa kilimo cha bangi, michango toka kila kona ya dunia ilikusanywa kisha kama kawaida kukwapuliwa na serikali.

Sababu nyingine kwa serikali hyo kupalia kuni janga hili ni kupata sababu ya kuendelea kusalia madarakani. Serikali hyo ambayo imekua ya kifisadi na kidikteta imepoteza mvuto kwa wananchi huku ikidaiwa kutekeleza uteji wa wakosoaji.

Ni dhairi serikali hyo inaogopa uchaguzi wa huru na haki ambao uko karibuni na sasa kichaka cha corona virus ni maridhawa kujificha humo kama janga litakua kubwa kama wanavyopanga hvyo kusalia madarakani kwa kuairisha uchaguzi.

Ni dhairi serikali ya nchi hyo ya mbali inatamani na inapanga kutumia janga la corona kujikwapulia tena fedha za misaada pale hali itakapokua tete kuliko kote duniani (kama wanavyopanga) na misaa kushuka.
Hata kufanya proof reading ya andiko lako tu imekushinda? Typing error kibao hadi inachosha kusoma! Wewe ndiyo uliyeandaa ile hotuba ya upinzani kule Bungeni mpaka Spika akaamua isisomwe?
 
Back
Top Bottom