Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 712
- 1,642
Huku dunia nzima tukiwa na hali ya taadhari na mipango mbali mbali kupambana na janga hili la virus vya corona kuna nchi moja ya mbali huko kiongozi wa taifa hilo anaonekana na wengi kua hajali ila kwangu mimi namuona kwa jicho tofauti nikitazama ushahidi wa hulka zake.
Wakati mchi zotewanaamasisha kuepuka misongamano, katika nchi hyo wala hawajali kitu huku afisa fulani wa serikali anaeshutumiwa kua alipata 0 darasani akikusanya watu kila siKu kuongea "yasiyo ya msingi"
Nchi hyo ambayo tayari imeripotiwa kuwa na wagonjwa kadhaa wa corona, raisi wao anaamasisha watu waendelee kwenda kanisani na misikitini ili hali mikusanyiko inatambulika kua hatarh.. (anatamani na anapanga kwa makusudi watu wake waambukizwe usiulize kwanini, relax nitajibu swali hili punde)
Wakati dunia nzima ikishuhudia marais wa mataifa mbali mbali wakitoa rai kila mara kukumbusha, kutoa mikakati na kusisitiza wanainchi wao, raisi wa nchi hiyo yeye anaonekana akiwa anafanya utalii wa miamba huku akionekana kunywa coffee "mitaani" makusudi akiaminisha watu hakuna hatari.
Kwanini rais huyu anapanga maafa yatokee ?!
Kulijibu hili tuweke wazi mambo kadhaa, kwanza yeye na familia yake ni dhairi hawata athirika na janga hili na hata ikitokea mtu wa familia yake akapata tatizo hili, atahududiwa na ICU chache zitawekwa "reserve" kwa ajili yao. (UBINAFSI) Na kiongozi huyu ni mbinafsi kweli kweli mithili ya kina Mobotu huku akijijengea empire na uwanja mkubwa wa ndege wa kimataifa ukigharimu mabilioni ya shiling kijijini kwao ambako hakuna raia mwenye uwezo wa kupanda ndege.
Ubadhilifu. Rais huyu anapanga maafa haya huku akijua wazi kua endapo maafa yatakua makubwa nchini mwake na kwingine kuthibitiwa atapewa "misaada" na hapo ndo kwenye utamu.
Raisi huyu alishashuhudiwa akikwapua mabilioni ya fedha zilizochangwa na misaada kutoka mataifa mbali mbali kwa ajili ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoa fulani nchini mwake na rais huyu akakwapua fedha yote bila kutoa msaada wowote kwa wahanga huku akisema "serikali haikukaeta tetemeko" ila mimi nikashangaa serikali kuchukua fedha za misaada ya wahanga, haikuleta tetemeko ila misaada inakwapua.
Kwa wakati mwingine ilitokea ajali mbaya ya basi la wanafunzi katika mkoa fulani nchini humo maarufu sana kwa kilimo cha bangi, michango toka kila kona ya dunia ilikusanywa kisha kama kawaida kukwapuliwa na serikali.
Sababu nyingine kwa serikali hyo kupalia kuni janga hili ni kupata sababu ya kuendelea kusalia madarakani. Serikali hyo ambayo imekua ya kifisadi na kidikteta imepoteza mvuto kwa wananchi huku ikidaiwa kutekeleza uteji wa wakosoaji.
Ni dhairi serikali hyo inaogopa uchaguzi wa huru na haki ambao uko karibuni na sasa kichaka cha corona virus ni maridhawa kujificha humo kama janga litakua kubwa kama wanavyopanga hvyo kusalia madarakani kwa kuairisha uchaguzi.
Ni dhairi serikali ya nchi hyo ya mbali inatamani na inapanga kutumia janga la corona kujikwapulia tena fedha za misaada pale hali itakapokua tete kuliko kote duniani (kama wanavyopanga) na misaa kushuka.