Tetesi: Rais wa nchi ile hana nia ya dhati ya kuthibiti corona. "USHAHIDI" anatamani na anapanga makusudi maafa yatokee nchini mwake

Kwanini unapingana na wakati?
Alafu na kwanini pia unatumia wakati uliopita?
Wame, wali, ali.
Wana, ana.

Kwanini haukuandika tanzania wanakufa vijana,.
Na wapi kafa kijana Afrika
 
Inaonekana wewe ni mfuasi wa Chama pinzani kwenye Nchi hiyo maana nyinyi hammtakii mema raisi wa nchi hiyo kila analofanya mnataka kumkwamisha wakati nyinyi hata mkoa hamuwezi kuuongoza kazi yenu majungu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 


Yan wewe unasubir serikali au Rais akwambie usitoke nje ndo usikie?

Haupo serious na maisha yako Kama unaona n lazima kukaa ndan kaa hakuna wa kukuuliza Kama unaona n lazima kushinda shamban nenda hakuna wakukuzuia ilmradi tuu hauvunji Sheria na taratibu za nchi yako.

Umakini na uiamara wa afya yako unaanza nawewe mwenyewe hao madaktari au serikali wanakuja kujaribu kukusaidia Tena sio kwa muda unaotaka wewe.
 
Reactions: UCD
Kwanini unapingana na wakati?
Alafu na kwanini pia unatumia wakati uliopita?
Wame, wali, ali.
Wana, ana.

Kwanini haukuandika tanzania wanakufa vijana,.
Na wapi kafa kijana Afrika
Afrika hata kupima hampimi, wizara ya afya majuzi imetoa taarifa imepima watu 26, katika nchi yenye watu karibu milioni 60.

Sasa hapo mtu akifa utajua huyu kafa kwa Corona au siyo?

Acha kupima Corona tu, huko Afrika kuna watu wanazikwa wakiwa bado wazima, kwa sababu hakuna teknolojia nzuri kupima watu kama wamefariki au bado.

Wacha masihara wewe.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Atukuzwe Mungu wa mbinguni kwa kutupatia Rais anayejua kuwa kwa akili na mbinu zetu za kibinadamu hatuwezi kupambana na janga hili.

Mungu pekee ndiye Atakayetuvusha kwenye hili.


Jesus is Lord!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atukuzwe Mungu wa mbinguni kwa kutupatia Rais anayejua kuwa kwa akili na mbinu zetu za kibinadamu hatuwezi kupambana na janga hili.

Mungu pekee ndiye Atakayetuvusha kwenye hili.


Jesus is Lord!

Sent using Jamii Forums mobile app
daaaah ndugu yangu wee unaakiri sana tena sana.

Kwa akili za kibinadamu hili jambo ni gumu tena zaidi ya sana.
 
Kupima au kuongeza vipimo nchini ni sawa na
BINI KIZEE ANAYEMTAFUTA SIMBA MLA MIFUGO PORINI HUKU NA FIMBO YAKE MKONONI
 
Kwa ujinga ulioandikwa humu ni bora kuzaliwa Korea Kaskazini kwa kiduku... Kule hakuna huu ujinga wa kuwapanikisha wananchi, wanapambana kivyao kimyakimya na matatizizo yao

Mi nashangaa sana, yaani wewe unayashobokea yanayotokea nchi za ulaya badala ya kushobokea yako?
Nchi gani hapa Afrika umesikia imeripoti vifo zaidi ya mia hata km hawapimi? Yaani misiba 100 ndani ya siku moja?

Acha kumfananisha mzungu na mwafrika, hawa watu ni tofauti kabisa. Toka enzi hizo za ukoloni wazungu walitujua kuwa sisi ni STRONG/IMARA...

Ukimwi ulikuja ushagonga mwamba na Ebola nayo imesalimu amri... Mbona hatukufa kama kuku kama ile Spanish Flu iliyowachinja wazungu zaidi ya milioni 50 ndani ya miaka miwili?

Leo mafua yaleyale ya miaka 100 iliyopita yaliyokuja kwa jina jingine la Corona yanaanza kukunyanyasa kiasi hiki?

Kila mtu apambane na masaibu yake
 
Kinachotunusuru kama nchi ni imani aliyoonyesha mheshimiwa Rais kwa Mungu wa Mbinguni. Hii vita tumeishaishinda mimi nakwambia
 
Watu tunampenda Sana uyo rais wetu wa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja kwanza tuendelee kumuomba Mungu hali ikikaa sawa tukutane tukununulie na wewe kahawa.
Pia kama unaoma hali si nzuri,basi jifungie ndani maana hicho kinashauriwa kila siku ila hautokisikia Instagram.
 
Kupima au kuongeza vipimo nchini ni sawa na
BINI KIZEE ANAYEMTAFUTA SIMBA MLA MIFUGO PORINI HUKU NA FIMBO YAKE MKONONI
Mpaka hapo unajionesha kwamba umechimba shimo na kuingiza kichwa chako chini, ili kuepuka matatizo ambayo hata ukijichimbia hivyo chini hayaondoki.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Kwa hiyo mkuu umeifunga COVID-19 kwa njia ya kiroho!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudi darasani ukasome fasihi wewe,. Ni ushauri tu.

Alafu akili yako imeharibiwa na dhana ya upinzani wewe! Mnaboa
 
Acha maisha yaendelee,usipokufa kwa corona utakufa kwa mengine,unadhan utaishi milele hapa duniani? Tufanye kazi cha msingi tuzingatie vile tunavyoagizwa na wataalamu wa afya ya namna ya kujikinga na janga hili,maisha yetu hatujafikia point ya kusema tujifungie ndan bila ya kwenda kutafuta...hili litapita na maisha yataendelea kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINI MAANA YA UTUMWA WA KIFIKRA?? WHAT IS MENTAL SLAVERY. NI PALE UNAPOFIKILI KUWA MPAKA SASA TANZANIA ILITAKIWA KUWA NA WAATHIRIKA WENGI WA CORONA DUNIANI,NI KUFIKIRI KUWA TUNAISHI KWA KUBAHATISHA NA KWAMBA FUNGU LETU NI KUFA KAMA KUKU KWASABABU HATUNA UWEZO WA KUPAMBANA NA CORONA NI PALE UNAPOONA ITALY WANAKUFA,SPAIN,NA UNATAK TANZANIA RATE IWE JUU ZAIDI YA NCHI HZO, UTUMWA KWAMBA UNAAMINI ZIPO SIKU ZA WATANZANIA KULIA NA KUSAGA MENO SABABU YA KORONA HUAMIN MPAKA SASA WAGONJWA 24?? UNAJIULIZA WATANZANIA HATUAMIN? KUNA MWANAUME MAGUFULI NDIYE SHUJAA PEKEE DUNIANI MWENYE MAONO NDIE RAISI WA KWANZA KUBATILISHA MAUTI KUA UHAI, NASEMA IPO NGUVU KATIKA KAULI YAKE SHUJAA WETU KALITANGAZIA TAIFA USHINDI KWA KUKATAA NA KUBATILISHA MAUTI KUWA UZIMA, HOFU KUWA UJASIRI WA KUFANYA KAZI AMEWEKA PREDICT KWENYE VICHWA VYA WATU WAKE KWAMBA TAIFA LICHAPE KAZI AKJIVUNIA MUNGU .
Jiulize wewe hao waliochukua hatua Unazoziju hali yao ikoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…