Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawaida nilijua tu michongo itaingia kwenye ngumi baada ya huyu jamaa kutumika na watu wa utopolo.Bondia wa Taifa Mandonga kapigana kama wanapigana kuchi au mateja wanaopigana ngumi za mitaani Buza, dharau kibao kwa mpinzani wake mikono anaweka chini uso uko wazi haufichi mara acheze cheze ulingoni mara acheke mara ateteme ila ana ngumi jiwe kampata jamaa ngumi kibao usoni fresh tu ila katolewa Manundu mawili makubwa na kuangushwa mara mbili akatambaa chini kama mtoto, refa wa mchongo akambeba mtu kazi wala hakumhesabia eti mara kabla hatujajua kinachoendelea pambano la wazee la raundi nne likaisha kihuni na halikutolewa uamuzi nani mshindi!
Wamezingua kinoma!
Bondia wa Taifa "Mandonga" leo nimeshuhudia kabebwa laivu!!
uzi tayari!
Kinachofanyika na chama Cha ngumi wanajaribu kurudisha wapenzi wa ngumi kumtumia mandongaNauona mwisho wa Mandonga ukikaribia baada ya mechi 3 zijazo,yani watu 2ta mzoea na matambo yake na 2ta mpotezea.
Kama Huyu Karim Madonga Halafu Mamlaka Zimelala Fo Fo Fo ooMedia za bongo ni shida sana, zinaweza kukupa umaarufu usiostahili kabisa
Haa Wakimuuwa Tena Mko NayeMandonga Mtu Kazi tupo pa1 Hadi wakuue.
Mandonga bado atatrend muda mrefu tu, ujue kwanini,DR. SHIKA, PIERRE LIQUID NA MANDONGA umaaarufu wao ni wa Ovyo Ovyo na utaisha kwa muda Mfupi na ghafla
Mandonga nacheza yope uweziii
Hata Dr. SHIKA alikomaa hivo hivo akashiriki kwenye Bongo movie, matangazo ya biashara na nyimbo za Bongo Fleva lkn wapeeeeMandonga bado atatrend muda mrefu tu, ujue kwanini,
Ni kwamba baada ya jamaa kupigwa na Shaban Kaoneka ndipo alipoanza kung'aa si ndiyo.
Basi umaarufu wake ulianza kushuka taratiiibu baada ya wabongo kuhamishia nguvu kwa mzungu wa Simba Dejan.
Watu wakawa wanaimba mlete mzunguuuuuuuu
Hatujamalizaaaaaaaaaaa .
Tukaona tayari Karim Mandonga anaenda kushuka lakini kutokana na mdomo na taarabu nyingi na tambo zake za kiwaki jamaa karudi tena anazungumziwa kila kona
Nadhani Mandonga kawazidi... jamaa tayar ana followers laki moja instaHata Dr. SHIKA alikomaa hivo hivo akashiriki kwenye Bongo movie, matangazo ya biashara na nyimbo za Bongo Fleva lkn wapeeee
Pia ana mikataba lukuki ya kuingiza pesa ikiwemo kampuni imara ya Azam.Nadhani Mandonga kawazidi... jamaa tayar ana followers laki moja insta
Halafu jamaa ni mjanja inaoneshaPia ana mikataba lukuki ya kuingiza pesa ikiwemo kampuni imara ya Azam.
Mandonga katumia kiki yake vizuri sio kama hao wengine.