Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo huamini?Haiwezekani.
Kuna apps za kutengeneza tweets.
Buhari siyo mwanaharakati mpaka avutiwe na JF.
Sioni Buhari anakutana wapi na JF hadi aijue na amjue mmiliki.
JIWE litakuwa limetikiswa na hii habari kama vijana wake wa buku 7 aliowatuma humu. Yaani misonyo kama yote huko mjengo mkubwa.Hii ni habari mbaya sana kwa CCM
Le mutuz na Musiba wakisoma hii watazimia maana hawaipendi mtandao wa JF kuliko chochoteHabari njema sana hii kwa WANA-JAMIFORUMS wote na pigo kwa maadui wa mtandao huu.
Lakini wakila 1.5 trilion wakasemwa inakuwa ni matusi? Wakikosa vyeti kama Bashite wakasemwa inakuwa matusi? Wakiwabambikia kesi Wapinzani watu wakae kiimya?Kurupushani mkubwa, nigeria kabisa, kidoti komu. Mbona CCM inaipenda JF, kinachoharibu ni pale JF inapotumika kutukana viongozi wetu badala ya ku expose rushwa au ukosefu wa maadili. Hivi unamtukana rais wa nchi unategemea nini? Ila kwa sasa naona JF imejitahidi sana kuwapiga BAN la life watukanaji wa viongozi
Yupi sasa unataka? Kuweni na utamaduni wa kuamini Serikali za kenya na Nigeria zinatoa uhuru wa kukosoa viongozi si nyinyi kukariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM mpaka mnashangaa hata vya Nchi zingine.Buhari huyuhuyu
Hasa Bashite na kikundi chake cha wasiojulikana ambao baadhi sasa wanajulikana, yaani akina Musiba, jerry muro, Heri kisanduku na Le mutuzHii ni habari mbaya sana kwa CCM
Na wale wanaohoji ununuzi wa ndege kwa cash bei kubwa yenye 10% kwa wajanja wachache nao huzibwa midomo kwa kubambikiwa kesi, ukihoji trilion 1.5 unapigwa Risasi na wanaojiita wasiojulikana kama walivyomfanyia Tundu Lisu.
Huwa nashangaa sana ninaposikia mtu anajipambanua kama mchukia rushwa na ufisadi halafu anabana majukwaa ya kutoa maoni/kutapika nyongo.
Si kweli kwani makabila mengine yangeanzisha Uasi kama Congo Nchi ukileta ukabila inakuwa balaa sidhani kama chadema hawalijui hilo, Mbowe hakuidharau mahakama kwani wakili wake alitoa taarifa za kutokuwepo mahakamani na ni kitu cha kawaida kwa washitakiwa wengine, lakini kwa kuwa mbowe ni chadema ndipo CCM wametumia nguvu za Serikali yao kuingilia mahakama ili kumkomoa. Wewe ndiyo zuzu na mbumbumbu kilaza unasema hakuna hela imeliwa wakati mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali alithibitisha 1.5 trilion kuliwa na viongozi wako wa CCM, acha kujitoa fahamu kumtetea Bashite kwa style za kishamba toka kolomije, tambua kuwa watanzania wa sasa si wale wa miaka ileee... wananchi wa sasa ni wajanja kuliko nyinyi CCM wachache mnaodhani mna Akili kuliko watanzania wote.Hakuna hela iliyoliwa, Makonda hana tatizo, mbow alijitakia mwenyewe kwa kudharau mahakama. Tena wewe zuz nikuambia iwapo hao wahuni wa siasa wangechukua nchi basi mpaka sasa tungekuwa tumeuzwa, kichaga wangetaka iwe lugha ya taifa, kila ofisi angewekwa mchanga, bot ingejaa wachaga, na wachaga wangeiba mpaka noma,
Jipya la nini? Maana ipi unataka? hapa watu wanataka haki jipya na maana wewe kaa navyo huko huko.Haina maana kama hakuna video na hata kama kweli hakuna jipya
Hii habari bila ya picha, link, au video clip ni udaku kama ulivyo udaku mwingine.
Wewe endelea kuishi kwa kukariri udaku mwingine kwa vigezo vyako vya kolomije lakini wenzako wenye kwenda mbele zaidi wameamini tayariHii habari bila ya picha, link, au video clip ni udaku kama ulivyo udaku mwingine.
Huo ndiyo ujinga tunaoukataa na ujinga huo ndiyo umewafanya CCM kuishi kwa kukariri vya zamani pasipo kufikiri kuwa wenzenu wapo makini wanapitia mitandaoni wanajua vingi kuliko nyie, acheni kuishi kishamba shamba amkeni mfanye siasa safi Nchi ipige hatua kimaendelea kuliko kutumia pesa za walipa kodi kukandamiza demokrasia kurudia chaguzi kwa gharama kubwa na ujinga mwingineo mwingi ikiwemo kuwalipa pesa nyingi akina Le mutuz na Musiba ili kutengeneza Sinema za propaganda kila kukicha.Haiwezekani.
Kuna apps za kutengeneza tweets.
Buhari siyo mwanaharakati mpaka avutiwe na JF.
Sioni Buhari anakutana wapi na JF hadi aijue na amjue mmiliki.
Kikwete na Mkapa waliupenda sana Mtandao wa JF kwani uliwasaidia kujua mapungufu yao lakini Utawala huu wa wasukuma wawili toka kolomije na chato chini ya kamati zao hawataki kuona JF ikiwepo hewani.Iwe kweli au isiwe kweli, JF inastahili kutambuliwa, kuheshimiwa na kupata tuzo, tena kubwa zaidi ya sifa alizoimwagia Rais Buhari.
Nami naongeza kwamba huo ni mwanzo tu wa kutambuliwa kwa mtandao huu kimataifa. Tuzo na heshima zitazidi kumiminika zaidi siku zijazo toka ndani na nje ya Tanzania.
Hongera zenu JF. Hongera Maxence Melo.
Mshauri mkuu wa mtukufu ndugu Daud Arbaty Bashite hana vyeti unategemea nini?Hivi mkuu wetu anaweza kupongeza mambo ya maana kama haya!?
Wasiojulikana wapo wanapiga tizi kwa bidii sanaHakutaja kumpongeza jiwe??!! Sijui jiwe kama atalivumilia hili