Rais wa Senegal akiwa na wake zake katika hafla ya kupokea kombe la AFCON

Monogamy ni scam.

Ukristo uliwadanganya waafrika kwamba ndoa ni ya watu wawili tu. Mke mmoja na mume mmoja.

Huu ni Utapeli wa waziwazi.

Ndio maana ndoa za mke mmoja zina migogoro.

Mwanaume kama una uwezo, Vuta pisi hata tano ishi nazo.

Akizingua huyu, unaruka na huyu. Life goes on!

Sio mwanamke mmoja anakubabaisha miaka yako yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…