Rais wa Somalia asaini Sheria kuongeza miaka miwili madarakani

Rais wa Somalia asaini Sheria kuongeza miaka miwili madarakani

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed amesaini Sheria Tata inayoongeza mamlaka yake kwa miaka miwili, huku hatua hiyo ikipingwa vikali na Wafadhili.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Serikali na Waziri wa Habari, Osman A Dubbe Rais amesaini Sheria hiyo ambayo ilipitishwa na Bunge. Hata hivyo Seneti ilipinga hatua hiyo ikisema ni kinyume na Katiba.

Muda wa Urais wa Rais Abdullahi ulifika tamati mwezi Februari mwaka huu bila kupatikana Mrithi wa nafasi hiyo. Wafadhili wakubwa wa Taifa hilo wamesisitiza hawataunga mkono suala la Rais kuongezewa muda.
=====

Somalia's President Mohamed Abdullahi Mohamed has signed a controversial law extending his mandate for another two years, despite threats of sanctions from the international community.

State broadcaster Radio Mogadishu said the president, better known by his nickname Farmajo, had "signed into law the special resolution guiding the elections of the country after it was unanimously passed by parliament".

Somalia's lower house of parliament on Monday voted to extend the president's mandate after months of deadlock over the holding of elections in the fragile nation.

However the speaker of the Senate slammed the move as unconstitutional, and the resolution was not put before the upper house, which would normally be required, before being signed into law.

Farmajo and the leaders of Somalia's five semi-autonomous federal states had reached an agreement in September that paved the way for indirect parliamentary and presidential elections in late 2020 and early 2021.

But it fell apart as squabbles erupted over how to conduct the vote, and multiple rounds of talks have failed to break the impasse.
 
Back
Top Bottom