Tetesi: Rais wa Somalia atua kwa dharura nchini, akwepa kutunguliwa

Status
Not open for further replies.

Victor wa happy

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
11,660
Reaction score
11,654
Rais wa Somalia akitokea Africa kusini ametua kwa dharura Tanzania baada ya intelejensia kubaini kuwa angetunguliwa angani katika mpaka wa Somalia na Kenya

Karibu sana MO. huku kuna wasomali kibao tu tunawatunza vizuri

Amepokelewa na mzee wa kanda maalum.

Alshabab hawafai
 
Tulinde na kuheshimu umoja wa taifa letu, ccm mnadhamana kubwa.
 
Duh Anafanana kabisa na Wasomali wengine i see..
 
Siri gani wakati watu tumeshajua?
Tunawajibika kulinda usalama wa mtu mwingine ujue chukulia majambazi wanavamia nyumbani kwako unakimbilia makaburini kujificha halafu unaona jamiii forums wamepost muda huo hup kuwa uko makaburini umejificha wakati hata majambazi yanasoma jamii forums huko ulikojificha si utaanza kujiharishia na kkumlaani aliyepost?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…